Let's have man talk:- Hivi ndio vitu mnavyofata kwenye ndoa?

Ukiifikiria sana ndoa ni upumbavu mtupu. Na ndio hasa inasababisha watu wanakufa mapema
Koma mtoto wa dada. Tena koma na maneno yako uyafute.

Ukiwa haujaelewa umuhimu wa jambo hailifanyi hilo jambo kuwa si la muhimu.

Hapo wewe unaishi mwenyewe, haufanyi mapenzi, hauna company ya jinsia ya tofauti?!
 
Koma mwenyewe ndugu. Tofautisha kati ya ndoa na kufanya mapenzi. Kwani umeambiwa wasio na ndoa hawafanyi mapenzi?
 
Sasa kufanya mapenzi ni tendo la nini hebu tuelezee mtoto wa dada, Koma na kwambia koma mtoto wa dada.
 
Unadhani pesa pekee ndiyo itakufanya ufurahi mwanangu. Furaha ni matokeo ya vitu vingi ikiwamo fedha. Mbona nchi kama Nepal tena maskini ina watu wenye furaha kuliko Marekani kama fedha ndiyo furaha?
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Hakya Mungu umenichekesha sana binti yangu
 
Narudia tena ndoa ni upuuzi uliopitiliza. Tumejiwekea jela sisi wenyewe.
 
Anatuzingua huyu. Ndoa haitekelezeki hasa hizi zetu za kiafrika. Na ndo inasababisha vifo vya mapema
 
Mbona yangu ina miaka mingi na bado tunadunda mwanangu, unamaanisha nini unaposema vifo vya mapema?
 
Hata yangu ina miaka mingi na bado tunadunda hivyo hivyo.
Magonjwa mengi huletwa na stress za ndoa. Pia mauaji
 
nimekuelewa ila ulipokazania tafuta hela tafuta hela nikakuona pimbi

Unadhani pesa pekee ndiyo itakufanya ufurahi mwanangu. Furaha ni matokeo ya vitu vingi ikiwamo fedha. Mbona nchi kama Nepal tena maskini ina watu wenye furaha kuliko Marekani kama fedha ndiyo furaha?

If you think money can't buy HAPPINESS then go and ask the HOMELESS and the JOBLESS.

#YNWA
 
Narudia tena ndoa ni upuuzi uliopitiliza. Tumejiwekea jela sisi wenyewe.

Anatuzingua huyu. Ndoa haitekelezeki hasa hizi zetu za kiafrika. Na ndo inasababisha vifo vya mapema

Asante sana madam.

Kwahili your THY MADAM.

Sio THE ni THY.

🀘🀘🀘🀘🀘

Chukua SANTI ANNA HAPO NITALIPA.

#YNWA
 
Bro unanifurahisha na ule usemi wako pendwa "NILIWAMBIA MSIOE", afu ukiunganisha na kisa cha mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…