Lets make Rostum Aziz the next President of Tanzania!

Lets make Rostum Aziz the next President of Tanzania!

Ulizieni mwalimu alifanya nini kwa watu waliokuwa wakidaiwa kuiweka serikali mfukoni.Halafu mfuate mifano hiyo.Sasa kipindi kile cha mwalimu yule mgiriki ndo angefanywa waziri kwasababu ya madai yake ya uking maker?Tumieni akili jamani.Mawazo haya mliyo nayo ni hasi.

JMushi,

Mbona kuna "Wazawa" na wageni wengine waliiweka nchi mifukoni? What about one party dominancy ambayo ukisema lolote opposie you were detained in Nyarugusu and became forgoten?
 
Mwanangu JMushi,

Offer us some tangible solutions using the current reality state of our affairs basi...
Reverand samahani kwani nilijuwa swali kama hilo litakuja.Cheki bandiko langu lilopita kuhusu watu kama RA mwalimu alichukua hatua gani dhidi yao.Hata kina JK na EL wanaotusumbua hivi sasa hakuwakubali.Sasa hii mentality ni ya kuturudisha shimoni mzee wangu.
 
If we as the nation were good students of Mwalimu and especially people of CCM, then when Mwalimu stated that JK and EL stink, we should have acted accordingly and give them no vote in 2005. Lakini as I was responding to Susuviri, we are a corrupt society, we cheered gagulo, kofia, fulana, ubwabwa and soda provided by a candidate with the best white teeth and killer smile, without actually measuring his effectiveness...twice, first time we gave him an 80% mandate and 5 years later despite the fact we knew he was terrible, we gave him the mandate within the party to get a 19% deduction on the ballot box!
 
Lkn kweli mkuu hapo mie naona uko poa...lkn Tanzania utasikia na mentality za Nyerere eti mfanyabiashara hawezi ongoza wananchi...Uchumi huletwa na wafanyabiashara na huyu jamaa mi naona anatufaa mfano...kaachia ngazi lkn cheki kina VIJISENT na LOWASA? Kweli tuanze kufikiria watz..,.
 
Ulizieni mwalimu alifanya nini kwa watu waliokuwa wakidaiwa kuiweka serikali mfukoni.Halafu mfuate mifano hiyo.Sasa kipindi kile cha mwalimu yule mgiriki ndo angefanywa waziri kwasababu ya madai yake ya uking maker?Tumieni akili jamani.Mawazo haya mliyo nayo ni hasi.

Jmush1 JF ni eneo la welevu [Intellectuals],kuwepo hapa, kuna namna nyingi sana za kufikisha ujumbe kwa wahusika,ikiwemo njia hii ya DHIHAKA.Kwa kuwa mimi na wewe HATUNA NGUVU KWENYE MAAMUZI, kama Mwalimu alivyokuwa kwenye maamuzi dhidi ya yule mcyprus.Basi kama hatuna hayo mamlaka ya kuwawajibisha hao wahusika unafanyaje ili kwa uwezo wetu waone kuwa TUNAJUA NA TUNANIA YA KUWAAMBIA KUWA WANATU HUJUMU. Na hivyo basi dhihaka inaibua udadisi ambao mimi na wewe tunaupata sasa hivi kupitia thread hii.

UJUMBE HUU UNAFAIDA NA UNA IMPACT KUBWA SANA.
 
Rev you are right, kama ameweza kusponsor mabwege mpaka pale walipo na kuitwa vile wanavyoitwa kwa nini yeye asiwe rais. Hela za huyu bwana ni za mababu zake, zake bado hajashusha, vipi zikija itakuwaje na hivi mmekariri eti ni fisadi?

Tutampa kura zote za ndiyo agombee.
 
Susuviri,kudai kuwa ni kwasababu RA si mweusi ndo maana anaface hii wrath ni utumwa wa akili.Hamutaki kuhoji nia za watu,ndo maana kuna watu waliwatetea waliowachukua babu zetu utumwani.Yani i cant believe that mentality haijabadilika.Wachache sana,lakini wengi wetu bado utumwa wa akili unatusumbua.Haya endeleeni,nchi tumewaachia ila ukweli tutawalima nao.Rekodi ipo,ni kazi ya kizazi kijacho ku judge.
Really unbelievable!
Kaazi kweli kweli!
Mkuu, we ni wa siku nyingi na tumekuwa na debates hapa kwa muda sasa, naomba tuachane na labels kama alivyosema Rev Kishoka. Hamna haja kusema eti ooo utumwa wa akili, ooh mentality. Hebu soma tena nilichoandika. Sijasema kuwa eti Rostam ni msafi, wala kuwa hastahili kuhukumiwa, ninacho kiongea na alichokisisitiza hapa Rev Kishoka ni kuwa si Rostam pekee yake wa kumulikwa, lakini utaona chuki binafsi kwake huambatana na chuki kwa ajili ya rangi yake. Nikuulize, kwa nini unazungumzia utumwa kwa kuwa ni mbulushi? Au kwa kuwa kuna rumours kuwa familia yake ilijihusisha katika biashara ya utumwa? Kuna utumwa gani hapa tunapohoji?
Unapomzungumzia Nyerere, naomba nikukumbushe kuwa katika cabinet yake kulikuwa na watanzania wenye asili ya kiasia kama akina Alnoor Kassam na wengine. Je baada ya hapo uliwaona? Mi nimeshawahi kusikia mfanyabiashara wa kiafrika akilalalama miaka ya 80 kuwa Nyerere hakutaka mtanzania mweusi awe tajiri lakini alivumilia kuona wahindi wakitajirika. Maoni yako si lazima yawe sawa na mwingine. Wafanyabiashara wengi wenye asili ya kiafrika walioanza kuchomoza kama akina Mengi walianza kupata utajiri wao katika miaka ya Mwinyi, so it is all a matter of perception. Kumbuka akina Hajji wa CMC Landrover hawakuguswa wakati wa Nyerere... so kuna mengi ya kujiuliza, things are never black and white.
Narudia tena kuwa Rostam siyo victim, wala si innocent bystander na probably we say he should be president because he beat them all at the game. And this should not have anything to do with his skin color but his 'abillity'. Hope you appreciate the sarcasm, mkuu!
 
If we as the nation were good students of Mwalimu and especially people of CCM, then when Mwalimu stated that JK and EL stink, we should have acted accordingly and give them no vote in 2005. Lakini as I was responding to Susuviri, we are a corrupt society, we cheered gagulo, kofia, fulana, ubwabwa and soda provided by a candidate with the best white teeth and killer smile, without actually measuring his effectiveness...twice, first time we gave him an 80% mandate and 5 years later despite the fact we knew he was terrible, we gave him the mandate within the party to get a 19% deduction on the ballot box!
Reverand,

Kwa watu wa caliber yako,nilitegemea kuwa utasimamia na kutilia mikazo kwenye kazi njema za mwalimu licha ya kwamba tuna mctritisize kwa baadhi ya mambo.

Lakini hakuna siku hata moja tumejitahidi kuiga yale mema aliyotuachia.Ndiyo maana hata yeye alishawahi kushangazwa wakati flani kwa watu kugangamala tu na yale negative.Unachofanya wewe mkuu wangu na baadhi ya wengine ni kinyumer kabisa na the positve ways tulizoachiwa na founder wa Taifa letu.Tunatakiwa turudi nyuma tuangalie ni wapi tumekosea.Kudai kuwa mafisadi wakabidhiwe nchi kwasababu ya utendaji mzuri wa ufisadi ni moronic(samahani)Naomba usichukulie negative kwasababu mjadala wako huu pia ni muhimu.

Watanzania sidhani hata kama huwa wanamchagua rais kwa wingi wao.Wanahitaji sauti za ukombozi na watetezi na si kuwakabidhi mikononi mwa wasiowajali.

Nimeshasema hapo nyuma kuwa kama ni kweli RA anawajali wananchi,basi alikuwa na nafasi ya ku prove hayo.Kama ameiba halafu anabisha kuwa hakufanya hivyo.Then nia ya mtu huyo si njema.Sikubaliani kabisa na mawazo yako hayo licha ya kwamba naamini wabongo wanaweza kumpa kura.Watu huwa wanapimwa kwa walichowafanyia wananchi/Taifa.Mwalimu angewauliza mmelifanyia nini Taifa?Angewauliza pia kuwa wanataka kwenda ikulu kufanya nini?Pia angewaambia watanzania wawe makini na rekodi za wanaotaka kuwafanya kuwa viongozi wao.Tafadhali mkuu tusizidi kwapoteza wananchi.Kuweni na huruma ndugu zanguni.

Pia nafasi ya kuwaongoza watanzania inahitaji huruma ya hali ya juu.Kwa mwenye mapenzi na Taifa na mzalendo,waliyofanya RA et al hayaonyeshi kuwajali wananchi.Nchi iko gizani,umasikini umeongezeka mara dufu,halafu mtu anayefanya ufisadi umpe nchi na utegemee mabadiliko ya kimaendeleo kwa wananchi?
Nahitaji mniconvince zaidi.
 
Mwanangu JMushi,

Jiulize, kwa nini Rostam anatuhumiwa tuu, lakini hakuna hata mtu mmoja ambaye kaenda mahakamani kufunga kesi dhidi yake? Iwe ni Serikali, Upinzani au watu binafsi?

I am not a defender of Rostum (you know that well), lakini in absence of any criminal case against him but simply mere allegations year in year out, what do you think defines us a a nation?

We have a case, a valid case against CCM for failing to lead and improve the lives of Watanzania. According to a report I just read from Ministry of energy dated April 1992, the value of 1 US dollar was equivalent to 197 Tanzania shillings. Now almost 20 years later, the shilling has declined its value pegged to dollar by nearly 10 times or basically put is as 900%

The ills alleged done by Rostum, have been endorsed by our public, no wonder we call him Mzee and even dare to ask his sponsorship to finance a Choir (Usharika wa KKKT Kinondoni)!

So if the country see no harm about CCM and has re-elected by 60% to lead the Executive branch and so is our Bunge, then why not allow Rostum who is the pure breed of CCM coruptible system to run the country? May be there will be less corruption!

In regards to Nyerere, I cherish his principles and I wish he was still around to give us more guidance and inspiration. We will never be able to match Nyerere even walk his footsteps.
 
Reverand hawawezi kufunguliana kesi wenyewe kwa wenyewe.Na katiba yetu kama nilivyosema hapo awali inawapa mwanya huo.Yani wa kulindana na kulindwa na sheria pia kwasababu mikataba mingine ni ya kifisadi lakini bado inalindwa kisheria.Yani na sheria mbovu..Pia kutokana na katiba hiyo mbovu,Rais ndiye mwenye nguvu na maamuzi ya mwisho kwani hata hao kwenye muhimili wa mahakama ie jaji mkuu nk ni yeye anawateua,DPP and the list goes on and on.

Kujiuzulu kwa RA ni hatua ya kisiasa tu kuwapumbaza wananchi.However mahakamani hafikishwi na mtu yeyote.Labda pia waje kujibu hapa watu wa upinzani waseme ni kwanini hawafanyi hivyo.Pia siyo lazima sana afikishwe mahakamani ndiyo na sisi tuseme kweli alifanya haya na haya.Hali inavyozidi kuwa mbaya na huku mikataba hovyo ikiingiwa na wizi wa pesa na mali za watanzania ambazo zingewasaidia kupata maisha mazuri ni ushahidi tosha kuwa kuna mafisadi.Na ndiyo maana nikasema pia kama kweli una nia ya kusema RA awe rais,basi nitakubaliana mara baada ya katiba kubadilishwa....That can be a starting point before even arguing who is to become our president and why.

Na umasikini wetu unatumiwa mara nyingi sana tu kutugawa especially na status quo.Ushahidi uko wazi tu na hata wanasiasa wa upinzani wanahongwa tu mara nyingi.Wanasema penye uzia penyeza rupia.Wanapatafuta influence kutoka kwa watu wenye nguvu za ushawishi kwenye jamii hiyo ni mapambano yao ya kisiasa.We unadhani akienda kutoa huko milllions watazikataa?Watakuuliza ni kifungu gani cha bible kinachokataza mtu kupokea msaada wa kuendeleza "kazi ya bwana?" iwe ni kwa hali ama kwa mali.Mzee wangu na wewe ni Reverand sasa naomba unipe kifungu cha bibble ambacho kinawakataza hao wanakwaya wasipokee msaada huo waliopewa.Lakini hiyo kaiz yya mkuwakatalia si yao,si kazi ya hao wanakwaya ama makanisa hayo.Labda watumie utashi wa tu,lakini kama nilivyosema hapo awali.Njaa yetu pia inachangia sana tu.

Kazi iliyopo ni ya wananchi kuamua kubadili katiba na pia kufanya mapinduzi kama ni kweli wameamua kuumaliza ufisadi ambao ndiyo chanzo kikuu cha hali mbaya ya kiuchumi hence umasikini wetu wa kutupwa.
 
so is our Bunge, then why not allow Rostum who is the pure breed of CCM coruptible system to run the country? May be there will be less corruption!
.

Unazungumza ujinga tu. Mfano mdogo ni huo hapo juu. kwa upande mmoja unadai Rostum ni matokeo ya mfumo uliokubuhu wa rushwa wa CCM, halafu wakati huo huo unategemea akiwa rais labda rushwa itapungua. Hii hoja haina mantiki kabisa. Huna sababu zozote za msingi kutetea hoja yako kuhusu huyo Muhindi, na unazidi kujiumbua tu na blah blah blah zako. Inaonekana deep-down ulisikitika kusikia hatimaye Muhindi kajiuzulu licha ya kupiga makelele miaka lukuki afanye exactly the same. Miafrika bana sijui imeumbwaje...
 
Yes ni ujinga tuu na kwa upumbavu ukaisoma...
 
Yule jamaa si Handsome pia? tumpe kura za ndiyo wananchi. Maana watanzania tuliingia mkenge wa kutoa kura kwenye vichekeo vya kinafiki, kwa nini tusipe huyu mwarabu akadaka nchi walau kwa upumbavu wetu tukajivunia ubulusushi?

Watanzania ni maboga including me Caroline Danzi. Thinking capacity ni ndogo kupita ya DYNASU licha ya kuwa wakubwa wa maumbo bila fikra.
 
Mkuu, we ni wa siku nyingi na tumekuwa na debates hapa kwa muda sasa, naomba tuachane na labels kama alivyosema Rev Kishoka. Hamna haja kusema eti ooo utumwa wa akili, ooh mentality. Hebu soma tena nilichoandika. Sijasema kuwa eti Rostam ni msafi, wala kuwa hastahili kuhukumiwa, ninacho kiongea na alichokisisitiza hapa Rev Kishoka ni kuwa si Rostam pekee yake wa kumulikwa, lakini utaona chuki binafsi kwake huambatana na chuki kwa ajili ya rangi yake. Nikuulize, kwa nini unazungumzia utumwa kwa kuwa ni mbulushi? Au kwa kuwa kuna rumours kuwa familia yake ilijihusisha katika biashara ya utumwa? Kuna utumwa gani hapa tunapohoji?
Unapomzungumzia Nyerere, naomba nikukumbushe kuwa katika cabinet yake kulikuwa na watanzania wenye asili ya kiasia kama akina Alnoor Kassam na wengine. Je baada ya hapo uliwaona? Mi nimeshawahi kusikia mfanyabiashara wa kiafrika akilalalama miaka ya 80 kuwa Nyerere hakutaka mtanzania mweusi awe tajiri lakini alivumilia kuona wahindi wakitajirika. Maoni yako si lazima yawe sawa na mwingine. Wafanyabiashara wengi wenye asili ya kiafrika walioanza kuchomoza kama akina Mengi walianza kupata utajiri wao katika miaka ya Mwinyi, so it is all a matter of perception. Kumbuka akina Hajji wa CMC Landrover hawakuguswa wakati wa Nyerere... so kuna mengi ya kujiuliza, things are never black and white.
Narudia tena kuwa Rostam siyo victim, wala si innocent bystander na probably we say he should be president because he beat them all at the game. And this should not have anything to do with his skin color but his 'abillity'. Hope you appreciate the sarcasm, mkuu!
Haya wakuu,nawaachia thread yenu.Binafsi, i dont see anything funny on this na ndio maana nikajikuta nikitumia maneno ambayo hamkupendezwa nayo.However go ahead wandugu...RA for pesident.
 
Back
Top Bottom