Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
- Thread starter
-
- #61
Ulizieni mwalimu alifanya nini kwa watu waliokuwa wakidaiwa kuiweka serikali mfukoni.Halafu mfuate mifano hiyo.Sasa kipindi kile cha mwalimu yule mgiriki ndo angefanywa waziri kwasababu ya madai yake ya uking maker?Tumieni akili jamani.Mawazo haya mliyo nayo ni hasi.
Reverand samahani kwani nilijuwa swali kama hilo litakuja.Cheki bandiko langu lilopita kuhusu watu kama RA mwalimu alichukua hatua gani dhidi yao.Hata kina JK na EL wanaotusumbua hivi sasa hakuwakubali.Sasa hii mentality ni ya kuturudisha shimoni mzee wangu.Mwanangu JMushi,
Offer us some tangible solutions using the current reality state of our affairs basi...
Reverand samahani kwani nilijuwa swali kama hilo litakuja.Cheki bandiko langu lilopita kuhusu watu kama RA mwalimu alichukua hatua gani dhidi yao.Hata kina JK na EL wanaotusumbua hivi sasa hakuwakubali.Sasa hii mentality ni ya kuturudisha shimoni mzee wangu.
Ulizieni mwalimu alifanya nini kwa watu waliokuwa wakidaiwa kuiweka serikali mfukoni.Halafu mfuate mifano hiyo.Sasa kipindi kile cha mwalimu yule mgiriki ndo angefanywa waziri kwasababu ya madai yake ya uking maker?Tumieni akili jamani.Mawazo haya mliyo nayo ni hasi.
Mkuu, we ni wa siku nyingi na tumekuwa na debates hapa kwa muda sasa, naomba tuachane na labels kama alivyosema Rev Kishoka. Hamna haja kusema eti ooo utumwa wa akili, ooh mentality. Hebu soma tena nilichoandika. Sijasema kuwa eti Rostam ni msafi, wala kuwa hastahili kuhukumiwa, ninacho kiongea na alichokisisitiza hapa Rev Kishoka ni kuwa si Rostam pekee yake wa kumulikwa, lakini utaona chuki binafsi kwake huambatana na chuki kwa ajili ya rangi yake. Nikuulize, kwa nini unazungumzia utumwa kwa kuwa ni mbulushi? Au kwa kuwa kuna rumours kuwa familia yake ilijihusisha katika biashara ya utumwa? Kuna utumwa gani hapa tunapohoji?Susuviri,kudai kuwa ni kwasababu RA si mweusi ndo maana anaface hii wrath ni utumwa wa akili.Hamutaki kuhoji nia za watu,ndo maana kuna watu waliwatetea waliowachukua babu zetu utumwani.Yani i cant believe that mentality haijabadilika.Wachache sana,lakini wengi wetu bado utumwa wa akili unatusumbua.Haya endeleeni,nchi tumewaachia ila ukweli tutawalima nao.Rekodi ipo,ni kazi ya kizazi kijacho ku judge.
Really unbelievable!
Kaazi kweli kweli!
Reverand,If we as the nation were good students of Mwalimu and especially people of CCM, then when Mwalimu stated that JK and EL stink, we should have acted accordingly and give them no vote in 2005. Lakini as I was responding to Susuviri, we are a corrupt society, we cheered gagulo, kofia, fulana, ubwabwa and soda provided by a candidate with the best white teeth and killer smile, without actually measuring his effectiveness...twice, first time we gave him an 80% mandate and 5 years later despite the fact we knew he was terrible, we gave him the mandate within the party to get a 19% deduction on the ballot box!
Reverand hawawezi kufunguliana kesi wenyewe kwa wenyewe.Na katiba yetu kama nilivyosema hapo awali inawapa mwanya huo.Yani wa kulindana na kulindwa na sheria pia kwasababu mikataba mingine ni ya kifisadi lakini bado inalindwa kisheria.Yani na sheria mbovu..Pia kutokana na katiba hiyo mbovu,Rais ndiye mwenye nguvu na maamuzi ya mwisho kwani hata hao kwenye muhimili wa mahakama ie jaji mkuu nk ni yeye anawateua,DPP and the list goes on and on.Mwanangu JMushi,
Jiulize, kwa nini Rostam anatuhumiwa tuu, lakini hakuna hata mtu mmoja ambaye kaenda mahakamani kufunga kesi dhidi yake? Iwe ni Serikali, Upinzani au watu binafsi?
I am not a defender of Rostum (you know that well), lakini in absence of any criminal case against him but simply mere allegations year in year out, what do you think defines us a a nation?
We have a case, a valid case against CCM for failing to lead and improve the lives of Watanzania. According to a report I just read from Ministry of energy dated April 1992, the value of 1 US dollar was equivalent to 197 Tanzania shillings. Now almost 20 years later, the shilling has declined its value pegged to dollar by nearly 10 times or basically put is as 900%
The ills alleged done by Rostum, have been endorsed by our public, no wonder we call him Mzee and even dare to ask his sponsorship to finance a Choir (Usharika wa KKKT Kinondoni)!
So if the country see no harm about CCM and has re-elected by 60% to lead the Executive branch and so is our Bunge, then why not allow Rostum who is the pure breed of CCM coruptible system to run the country? May be there will be less corruption!
In regards to Nyerere, I cherish his principles and I wish he was still around to give us more guidance and inspiration. We will never be able to match Nyerere even walk his footsteps.
so is our Bunge, then why not allow Rostum who is the pure breed of CCM coruptible system to run the country? May be there will be less corruption!
.
Unazungumza ujinga tu. Mfano mdogo ni huo hapo juu. kwa upande mmoja unadai Rostum ni matokeo ya mfumo uliokubuhu wa rushwa wa CCM, halafu wakati huo huo unategemea akiwa rais labda rushwa itapungua. Hii hoja haina mantiki kabisa. Huna sababu zozote za msingi kutetea hoja yako kuhusu huyo Muhindi, na unazidi kujiumbua tu na blah blah blah zako. Inaonekana deep-down ulisikitika kusikia hatimaye Muhindi kajiuzulu licha ya kupiga makelele miaka lukuki afanye exactly the same. Miafrika bana sijui imeumbwaje...
Haya wakuu,nawaachia thread yenu.Binafsi, i dont see anything funny on this na ndio maana nikajikuta nikitumia maneno ambayo hamkupendezwa nayo.However go ahead wandugu...RA for pesident.Mkuu, we ni wa siku nyingi na tumekuwa na debates hapa kwa muda sasa, naomba tuachane na labels kama alivyosema Rev Kishoka. Hamna haja kusema eti ooo utumwa wa akili, ooh mentality. Hebu soma tena nilichoandika. Sijasema kuwa eti Rostam ni msafi, wala kuwa hastahili kuhukumiwa, ninacho kiongea na alichokisisitiza hapa Rev Kishoka ni kuwa si Rostam pekee yake wa kumulikwa, lakini utaona chuki binafsi kwake huambatana na chuki kwa ajili ya rangi yake. Nikuulize, kwa nini unazungumzia utumwa kwa kuwa ni mbulushi? Au kwa kuwa kuna rumours kuwa familia yake ilijihusisha katika biashara ya utumwa? Kuna utumwa gani hapa tunapohoji?
Unapomzungumzia Nyerere, naomba nikukumbushe kuwa katika cabinet yake kulikuwa na watanzania wenye asili ya kiasia kama akina Alnoor Kassam na wengine. Je baada ya hapo uliwaona? Mi nimeshawahi kusikia mfanyabiashara wa kiafrika akilalalama miaka ya 80 kuwa Nyerere hakutaka mtanzania mweusi awe tajiri lakini alivumilia kuona wahindi wakitajirika. Maoni yako si lazima yawe sawa na mwingine. Wafanyabiashara wengi wenye asili ya kiafrika walioanza kuchomoza kama akina Mengi walianza kupata utajiri wao katika miaka ya Mwinyi, so it is all a matter of perception. Kumbuka akina Hajji wa CMC Landrover hawakuguswa wakati wa Nyerere... so kuna mengi ya kujiuliza, things are never black and white.
Narudia tena kuwa Rostam siyo victim, wala si innocent bystander na probably we say he should be president because he beat them all at the game. And this should not have anything to do with his skin color but his 'abillity'. Hope you appreciate the sarcasm, mkuu!