Kongosho mbona maswali mengi aiseee?
Kama utapotea muda mrefu pita kule kwingine
Niachie ka message kakusoma hadi utakapo rudi.
Ushahidi wa nini, mi sijafanya? wewe hapo
ndio unatakiwa kuleta ushahidi (if at all)
Kumbe Erotica = Smile? No wonder Smiling Saint kajikimbilia. lolsmile...... kwanini umebadilki jina...?
Na wewe unataka kuja kunywa chai? Utaboreka...(
I love you Konniee... Nije kukuona? :hug:He is comming, ndo anapaki gari.
The First Mention.
Kongosho na Saint Ivuga ni mtu mmoja. wanapatana sana
Ngoja nimwite klorokwini (Aka bodyguard/deskmate) ndio dawa yake.
Kufanyana matusi!!
Usione nimeuchuna, nivile bado sijarudi mazima tu lakini nitahitaji ripoti kamili kuhusiana na huu mchakato , tayari nina faili yako kamili na ushahidi wa ccttv kwamba umekiuka kanuni za kulindwa. Bodigadi nakuchora tu. lol
Mi sitaki uje siku ya kumpokea Erotica.Kweli akufukuzaye hakuambii toka! Yaani tayari ushaamua kuwa ntaboreka? What makes you think that? Is it because I'm gonna be a third wheel?
No, no, no... you have to go out, please...:bump2:I'll be available dear.Am looking forward to having the company of two lovely ladies.
Mi sitaki uje siku ya kumpokea Erotica.
Kama vipi utapata invitation yako pekee.
I love you Konniee... Nije kukuona? :hug:
Mi sijalamba chochote, haki ya nani tena...:-*Hujalamba sukari, labda kweli lakini mdomo wote umejaa sukari.
Jitetee tena.
Kongosho utaharibu. kama una bia mkononi ishia hapo, usiagizi nyingine.Fail la huyu linatisha, bora mwache tu wakatatue kifamilia zaidi.
I'll be available dear.Am looking forward to having the company of two lovely ladies.
We are... but there are some things that I want to discuss with EroticaNow I'm even more curious...why don't you want me there? I thought we were cool....
BOOOOONGE la move hilo Konnie, gimme five!ntakuita, anataka tucheze karata.
Ntajidai kukuita ili liwe gemu la kutoana, afu akinitoa natoka kabisa sebuleni kwa muda.
Anaota huyo, mwache aseme. Nisha mjibu mbona?Whaaat? Mwali ya kweli haya?
We are... but there are some things that I want to discuss with Erotica
and I wouldn't be comfortable discussing them if you are there...