Lets talk about SEX Jf while am here

Lets talk about SEX Jf while am here

Kama utapotea muda mrefu pita kule kwingine
Niachie ka message kakusoma hadi utakapo rudi.
Ushahidi wa nini, mi sijafanya? wewe hapo
ndio unatakiwa kuleta ushahidi (if at all)

Sipendi kuacha meseji za haraka haraka kwa watu wenye hadhi kama wewe, acha nikaipambe pambe , niitie na viuwa uwa na vikopa halafu ndio nikuje kukuwekea meseji.
Am off for a qui.............. lol (malizia na uskuwe naughty lol)
 
Na wewe unataka kuja kunywa chai? Utaboreka...(

Kweli akufukuzaye hakuambii toka! Yaani tayari ushaamua kuwa ntaboreka? What makes you think that? Is it because I'm gonna be a third wheel?
 
Ambitious, I want to invite Erotica for a tea this weekend
What are you doing on Saturday dear? can you go out?

I'll be available dear.Am looking forward to having the company of two lovely ladies.
 
Last edited by a moderator:
Fail la huyu linatisha, bora mwache tu wakatatue kifamilia zaidi.

Usione nimeuchuna, nivile bado sijarudi mazima tu lakini nitahitaji ripoti kamili kuhusiana na huu mchakato , tayari nina faili yako kamili na ushahidi wa ccttv kwamba umekiuka kanuni za kulindwa. Bodigadi nakuchora tu. lol
 
Kweli akufukuzaye hakuambii toka! Yaani tayari ushaamua kuwa ntaboreka? What makes you think that? Is it because I'm gonna be a third wheel?
Mi sitaki uje siku ya kumpokea Erotica.
Kama vipi utapata invitation yako pekee.
 
I'll be available dear.Am looking forward to having the company of two lovely ladies.
No, no, no... you have to go out, please...:bump2:
We need space and time to discuss some girl issues...
 
Now I'm even more curious...why don't you want me there? I thought we were cool....
We are... but there are some things that I want to discuss with Erotica
and I wouldn't be comfortable discussing them if you are there...
 
Back
Top Bottom