Kwanza hapa siyo mahala pake.Nadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.
Tatizo ni nini?
Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
EEEeeeenNHEEEeee!mafua ni viral infection inayo sababishwa na wadudu tofauti tofauti na wanao badilika ndo maana utakuta mtu anamafua ya kubana, kesho ya kutiririka, kesho kutwa ya kupiga chafya ko inakua ngumu kutengeneza chanjo ya moja kwa moja na ndo maana hata dawa nyingi huwa zinatibu zile signs and symptoms
ndio cheka alf hiyo kamba unaweza kuitumia kuanikia nguo au kufanyia mazoezi ya kupunguza kiloπEEEeeeenNHEEEeee!
Na wewe umekuja kivyako; kila mtu kwa utaalam wake!
Huko "kupiga chafya" nako kuna virus wake, na "kubana kifua na kutiririka" nako virus wa aina yake?
Hii ni kama burudani ya kuchangamsha akili na kucheka.
Kwasababu serikali imeelekeza nguvu zake kwny kuteka upinzani.Nadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.
Tatizo ni nini?
Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
Sasa vinatengenezwa ndani ya maabara!NB: Cha kuzingatia ni kuwa bado kuna mamilioni ya virusi huko misituni. Kadri tunavyoendelea kujichanganya bila tahadhari na wanyama wa msituni tutaendelea kuja navyo kwenye jamii.
haijalishi. Uwe umeelewa au hukuelewa hilo ni shauri lako.ndio cheka alf hiyo kamba unaweza kuitumia kuanikia nguo au kufanyia mazoezi ya kupunguza kiloπ
sijakataa inachekesha kwelihaijalishi. Uwe umeelewa au hukuelewa hilo ni shauri lako.
Hiyo taarifa uliyoweka hapo ni ya kuchekesha.
Sasa hizo "kamba" unazozungumzia ni za nini?sijakataa inachekesha kweli
wew ndo umezisema sio mimiSasa hizo "kamba" unazozungumzia ni za nini?
nakupuuza.wew ndo umezisema sio mimi
mi pianakupuuza.
πππKwasababu serikali imeelekeza nguvu zake kwny kuteka upinzani.
Common cold sio ugonjwa bali ni sign ya body immunity ku fight off infections.Nadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.
Tatizo ni nini?
Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
Siyo wazungu tu hata sisi weusi kuna vifo vinavyotokana na flu. Mafua huua pale yanapompata mtu mwenye kinga dhaifu kwa sababu ya eg magonjwa au uzee. Hapa kwetu ni kuwa hatuna tabia ya kuchunguza vyanzo vya vifo na kuweka kumbukumbu.Nasikia wazungu mafua huwa yanawaua! Au ni stori za mtaani tuu! π
The common cold is a mild viral infection of your upper respiratory tract, mainly affecting your nose and throat. Over 200 different viruses can cause it, but rhinoviruses are the most common. Most people heal in 7 to 10 days without medical careCommon cold sio ugonjwa bali ni sign ya body immunity ku fight off infections.
Nakuacha kama unasema Flu na common colds ni synonymous! Kwaheri!Hujawahi kusikia chanjo za 'flu' zinazotolewa kila mwaka kwenye msimu/majira maalum wakati hizo flu zinapotegemewa kushambulia?