Tofauti yake ni nini, unajuwa?Nakuacha kama unasema Flu na common colds ni synonymous! Kwaheri!
Haya mambo mnayarukia hata kama hamna elimu ya kutosha kuyajadili.
Sasa unakimbia nini; kama unataka kufunzwa, si ni bora ukauliza; badala ya kujifanya unajuwa unachojadili?
Ngoja nikupe elimu ndogo tu kwa kifupi, juu ya hili uliloanzisha hapa.
Unazungumzia chanjo ya 'common cold'.
Umuhimu wa kuwa na chanjo unatokana na nini; ni mambo yapi yanayolazimisha gonjwa litafutiwe chanjo, unajuwa?
Kama ugonjwa siyo hatarishi kwa maisha, na wala hausumbui sana na hata kusababisha athari za mtu kupata magonjwa mengine, unasumbuka na ugonjwa huo kwa sababu zipi hasa kiasi ulazimike kutafuta chanjo yake?
Bado huelewi?
Sasa nieleze wewe unajuwa 'flu' ni kitu gani; inatofautiana vipi na hiyo 'common cold' unayoizungumzia wewe; kasoro ya virus wanaosababisha hali hizo.
Moja ni 'virulent' kushinda nyingine, tu basi.
Unapokuwa na uelewa nusunusu ya mambo usijikaze tu kuwa mbishi.