Tofauti yake ni nini, unajuwa?Nakuacha kama unasema Flu na common colds ni synonymous! Kwaheri!
Ungetafuta 'definition' hii kabla ya kuleta mada hapa isingekulazimu kuileta mada yenyewe; kwa sababu hiyo hiyo taarifa tayari imejibu swali lako.The common cold is a mild viral infection of your upper respiratory tract, mainly affecting your nose and throat. Over 200 different viruses can cause it, but rhinoviruses are the most common. Most people heal in 7 to 10 days without medical care
Marekani nadhani chanjo ya mafua ipo na huchomwa kipindi cha mlipuko. Halafu virusi vya mafua ni vingi mno yani mafua utakayopata leo siyo sawa na virusi vya mafua utakayopata kesho. Virusi vya matua vinabadilika kwa kasi kuliko virusi vingine. Ila chanjo zipoNadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.
Tatizo ni nini?
Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
Una ushahidi/facts wa virusi vilivyotengenezwa maabara. Nisaidie huo ushahidi.Sasa vinatengenezwa ndani ya maabara!
Na huo ujio wa Akili Unde (Artificial Intelligence) ndiko kunaweza kuwa balaa. Hata akina Musk wataweza kutengeneza vya kwao!
Nani kakuambia chanjo hakuna? Mbona ipo. Kila mwaka kuna watu wanachanjwa na hasa wazeeNadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.
Tatizo ni nini?
Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
Inaitwaje? Let us talk science!Nani kakuambia chanjo hakuna? Mbona ipo. Kila mwaka kuna watu wanachanjwa na hasa wazee
Kwani mkuu 'Lukonge', unajuwa muundo/maumbile ya virusi upoje kikemia.Una ushahidi/facts wa virusi vilivyotengenezwa maabara. Nisaidie huo ushahidi.
Kwani mkuu 'Lukonge', unajuwa muundo/maumbile ya virusi upoje kikemia.
kama unayo background ya kisayansi usingeweza kuniomba ushahidi wa kitu kama hicho.
Kuna kitu gani kinachoshindikana kwa sayansi ya leo kutengeneza kirusi kwenye maabara.
Unaniomba nikutajie mifano ya virusi vilivyotengenezwa kwenye maabara? Kutokutajia mifano haina maana tafiti hazifanyiki kuhusu kazi hiyo. Wewe kutofuatilia eneo hilo la utafiti haina maana kazi haifanyiki.
Watu wanajaribu hata kuunda seli (cell), itakuwa ishindikane kuunda virus?
Nithibitishe kitu gani kisichofahamika.Sijakwambia taja kirusi, bali nimekwambia thibitisha/substantiate dai lako kisayansi. Soma kichwa cha mtoa mada: tunaongea sayansi na ili iwe hivyo unaweka vithibitisho/facts na si siasa.
Tufunge mjadala.Nithibitishe kitu gani kisichofahamika.
Kama wewe unajuwa chochote kuhusu tafiti za kisayansi zinazofanyika sehemu mbalimbali dunian kuhusu eneo hilo la kisayansi, unataka nithibitishe kitu gani, nikakutafutie machapisho husika? Sina muda huo.
Unataka "nithibitishe dai langu kisayansi; yaani nikuwekee hapa structure ya virus na vipande vya kemikali vinavyounda virus na namna gani vipande hivyo vinavyoweza kuunganishwa na kutengeneza virus?
Nifanye kazi yote hiyo kukuridhisha tu wewe hapa JF?
Hivi kwenye siasa hakuna 'facts'?