Lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Deadline day shoking transfer

Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari maarufu kama langalanga( Formula one)lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes😅

Hii habari kiukweli imenishtua maana sikutegemea kama ingetokea maana hizi team mbili kwenye .mashindano hayo(Ferrari na Marcedes) ni mahasimu sana kama ilivyokuwa man UTD na Liverpool kwenye football unexpected

Anyway all the best, I mean no malice to nobody 🤒
 
Hapo kwakweli Ferari wamefanya fujo ili kuvunja utawala wa Benz

Sent from my SM-N960W using JamiiForums mobile app
 
Mbona husemi yanga na simba?
 
Mmmmmm mimi ni shabiki sana wa Red Team, ni furaha kwangu ila nilitegemea Lewis angeenda Red Bull na kujenga dream team na Max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…