Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Nasikia uko bize huko mikocheniAahah
Bado Mzee nimechungulia tu leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia uko bize huko mikocheniAahah
Bado Mzee nimechungulia tu leo
Si yupo Perez na ana fanya POA tu??Verstappen is untouchable for now, anahitaji kutafutiwa wakulungwa wawili wenye fujo kama yeye hapo Ferrari...
Ahahaha dah ujui tu mkaliNasikia uko bize huko mikocheni
Kwamba Mambo yame jipa, mpaka una take holiday😄🤔Ahahaha dah ujui tu mkali
Ilaa wewe jamaaa ujaacha ty uzushiKwamba Mambo yame jipa, mpaka una take holiday😄🤔
Uzushi ???, Mimi Jobless pro max sielewi kitu??Ilaa wewe jamaaa ujaacha ty uzushi
Mwambie mshamba_hachekwi akupe kazi kwenye shamba la maparachichiUzushi ???, Mimi Jobless pro max sielewi kitu??
Si yupo Perez na ana fanya POA tu??
Seba na Michael wale Jamaa Wana jua mnoo.Sasa kuna Charles Leclerc na Carlos Sainz...
Inabidi turejelee ile dominance au heshima ya wakati wa Michael Schumacher, Kimi Raikkonen na Seba Vettel
Ni kweli ila tungeshughudia ushindani kati yao ya kuwa driver no 1 wa Red Bull, watch out F1 coming to Africa!!Formula 1 Inge kosa balance bhana😄, yaani wakali wote team 1 ??
Ila season hii mkuu tumepata gari safi,we need also luck kuwa upande wetuKaribu timu Ferrari, muda mrefu tulikuwa wanyonge...
Yetu machoNi kweli ila tungeshughudia ushindani kati yao ya kuwa driver no 1 wa Red Bull, watch out F1 coming to Africa!!
Yale Mambo ya kuzima ghafla😄😄Ila season hii mkuu tumepata gari safi,we need also luck kuwa upande wetu
Ni kweli kila first corner, kichaa mmoja analala naye mbele, race inaanza upya under safety carVerstappen is untouchable for now, anahitaji kutafutiwa wakulungwa wawili wenye fujo kama yeye hapo Ferrari...
Yes mkuu tumekua more than 4 times kwenye pole position, mwisho wa race tumepoteza gari zote mbili, ilinikera sanaYale Mambo ya kuzima ghafla😄😄
Mara nyingi Hamilton kalalamika, ila change hakunaYes mkuu tumekua more than 4 times kwenye pole position, mwisho wa race tumepoteza gari zote mbili, ilinikera san