Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hawa ndio kenge kabisa kuna watu kibao wapo magerezani kwa kuonewa hawajahi kutoa tamko hata siku moja...Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Ndio kazi yao inayowapeleka chooniHaya mashirika yanatoa matamko tu ila vitendo ni sifuri
Mikutano kwenye maduka ya watuUtaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Huyu dada mpumbavu sana, hivi hamjui heche vizuri!! Hakuna jitu la hovyo kama heche , kwanza hana ustaarabu, jeuri !ana lugha za kuudhi, na ana dharau vyombo vya dola, nyie ndio mnawatuma, waambieni pia waheshimu haki za binadamu wengine sio kujali haki zao wakati wao wanatumia kila lugha mbaya kuongelea serikali yetu. We wanaokulipa wamekuona nyamaza.Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Wewe Kibwengu tulia nyau weweHawa ndio kenge kabisa kuna watu kibao wapo magerezani kwa kuonewa hawajahi kutoa tamko hata siku moja...
Ameachiwa huru sasa haya ongea tena kibwenguHuyu dada mpumbavu sana, hivi hamjui heche vizuri!! Hakuna jitu la hovyo kama heche , kwanza hana ustaarabu, jeuri !ana lugha za kuudhi, na ana dharau vyombo vya dola, nyie ndio mnawatuma, waambieni pia waheshimu haki za binadamu wengine sio kujali haki zao wakati wao wanatumia kila lugha mbaya kuongelea serikali yetu. We wanaokulipa wamekuona nyamaza.
Sasa labda unataka wafanyejeHaya mashirika yanatoa matamko tu ila vitendo ni sifuri
Hawa sijawahi waona wakitetea wananchi wa kawaida ni wanasiasa tu! Wanafanya hivyo ili misaada kutoka kwenye mabwana zao mabeberu walete pesa!Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Lakini alikipata cha mtemakuni na ujinga wake hakuendelea nao hapo Kariakoo.Ameachiwa huru sasa haya ongea tena kibwengu
Ameachiwa huru sasa haya ongea tena kibwenguLakini alikipata cha mtemakuni na ujinga wake hakuendelea nao hapo Kariakoo.
Wewe ulitaka akae mpaka lini? Mkutano wake wa kihuni haukufanyika inatosha sana!!Ameachiwa huru sasa haya ongea tena kibwengu
Yeye alitumia utaratibuUtaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Ye alifuata utaratibu kwenda kufanya mkutano huko kariakoo? Au ndiyo ameenda kufanya uchochezi? Tena wamemkamata kistaarabu hao madanga ya LHRC yatulie. Akiendelea na kiherehere atavunjwa kiunoUtaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Ulitegemea wafanye nini hayo madanga. Hao wako kuhalalisha pesa za wazungu kuwaonesha wanafanya kazi. Ukijichanganya na dola usitegemee kuna mtu atakusaidiaHaya mashirika yanatoa matamko tu ila vitendo ni sifuri
Serekali yenyewe ina mabwana huko kwa mabeberu wanawaletea hela, itakuwa hao wasiokusanya kodi.Hawa sijawahi waona wakitetea wananchi wa kawaida ni wanasiasa tu! Wanafanya hivyo ili misaada kutoka kwenye mabwana zao mabeberu walete pesa!
Hiki ni kituo cha sheria na hali za wanasiasa na si za binadamu.Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Polisi, CCM, MamaSamia2025, Lucas Mwashambwa, Pascal Mayalla, ChawaWaMama na CHAWA wote hii ni aibu kwenu na kwa utawala ambao mmekuwa mkiusifia usiku kucha kwa nyimbo na mapambioUtaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu