PreGE2025 LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu

PreGE2025 LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu dada mpumbavu sana, hivi hamjui heche vizuri!! Hakuna jitu la hovyo kama heche , kwanza hana ustaarabu, jeuri !ana lugha za kuudhi, na ana dharau vyombo vya dola, nyie ndio mnawatuma, waambieni pia waheshimu haki za binadamu wengine sio kujali haki zao wakati wao wanatumia kila lugha mbaya kuongelea serikali yetu. We wanaokulipa wamekuona nyamaza.

Una serikali wewe? Hii iliyotekwa na waarabu, wewe unasema ni ya kwako!! Mzima wewe kweli? Wewe umepewa mbuga gani ya wanyama?
 
Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu

Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.

Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Screenshot_20250422-230402.png

Kumbe waliomkata John Heche wala hata sio Polisi bali ni majambazi ya UVCCM waliojivika magwanda ya polisi. Hii ni kwa mujibu wa Afande Muliro - Kanda Maalumu DSM
 
Huyu dada mpumbavu sana, hivi hamjui heche vizuri!! Hakuna jitu la hovyo kama heche , kwanza hana ustaarabu, jeuri !ana lugha za kuudhi, na ana dharau vyombo vya dola, nyie ndio mnawatuma, waambieni pia waheshimu haki za binadamu wengine sio kujali haki zao wakati wao wanatumia kila lugha mbaya kuongelea serikali yetu. We wanaokulipa wamekuona nyamaza.
Wewe ndiye hasa mpumbavu wa mwisho. Na inashangaza mpaka Pascal Mayalla eti anaunga mkono utumbo wako huu.

John Heche yuko nje na mkutano uta resume palepale na kwa muda uleule mpaka mkome..
 
Una serikali wewe? Hii iliyotekwa na waarabu, wewe unasema ni ya kwako!! Mzima wewe kweli? Wewe umepewa mbuga gani ya wanyama?
Eti waarabu!! Nyie kinachowatesa ni uislam tu mbwa nyie!! Hamna logic yoyote kwenye hoja zako.
 
Back
Top Bottom