Huyu dada mpumbavu sana, hivi hamjui heche vizuri!! Hakuna jitu la hovyo kama heche , kwanza hana ustaarabu, jeuri !ana lugha za kuudhi, na ana dharau vyombo vya dola, nyie ndio mnawatuma, waambieni pia waheshimu haki za binadamu wengine sio kujali haki zao wakati wao wanatumia kila lugha mbaya kuongelea serikali yetu. We wanaokulipa wamekuona nyamaza.