Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Taarifa za awali zinasema video zote tatu mama yetu amefanikiwa kuziona, na wahusika wote watano wanafahamika.
Sasa sisi kama jamii, tuanze kufanya haya.
1. Majina ya watuhumiwa wote yawekwe hadharani.
2. Picha za wahusika wote watano ziwekwe hadharani.
3. Vyeo vyao, vituo vyao vya kazi na taasisi/vitengo vyao wanavyofanyia kazi viwekwe wazi.
4. Wakuu wao wa kazi, kuanzia wa ngazi ya chini, waziri mpaka Rais tuanze kuwashupalia mitandaoni kwa kuweka hashtag, picha na kuambatanisha taarifa zenye kuwahusisha na tukio hilo zima kwa kushindwa kuchukua hatua mpaka sasa.
Kazi ianze sasa, hakuna kusubiri.
Sisi ni jeshi kubwa, mitandao ndio silaha yetu.