LHRC yamtaka Rais Samia akemee tukio la mwanamke kubakwa

Taarifa za awali zinasema video zote tatu mama yetu amefanikiwa kuziona, na wahusika wote watano wanafahamika.
Sasa sisi kama jamii, tuanze kufanya haya.
1. Majina ya watuhumiwa wote yawekwe hadharani.
2. Picha za wahusika wote watano ziwekwe hadharani.
3. Vyeo vyao, vituo vyao vya kazi na taasisi/vitengo vyao wanavyofanyia kazi viwekwe wazi.
4. Wakuu wao wa kazi, kuanzia wa ngazi ya chini, waziri mpaka Rais tuanze kuwashupalia mitandaoni kwa kuweka hashtag, picha na kuambatanisha taarifa zenye kuwahusisha na tukio hilo zima kwa kushindwa kuchukua hatua mpaka sasa.

Kazi ianze sasa, hakuna kusubiri.
Sisi ni jeshi kubwa, mitandao ndio silaha yetu.
 
Taasisi ya hovyo sana hii, Peter Madeleka anajitoa kwa gharama zake kwa victim wanahitaji msaada wa sheria kuliko hawa wapuuzi.

Hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya ushambenga wa kisiasa tu.

God bless Madeleka
 
ni muhimu sana kuwepo na ustahimilivu na subra wakati mamlaka husika zikiendelea kuchukua hatua muhimu za za kinidhamu na kisheria...

kama jamii,
hatunabudi kushirikiana na mamlaka husika kutoa taarifa au kufichua uovu wa aina hii bila kusubiri video, huruma au shinikizo kutoka kwenye mitandaoni ya kijamii, huenda yapo mengi ambayo hayapo kwenye video mitandaoni...

ni muhimu mkuu wa nchi akaachwa afanye majukumu mwingine ya kitaifa kwa maslahi mapana ya Taifa, ila akipata fursa, na kuona kama ni muafaka inafaa kulisemea hili basi afanye hivyo....

aidha namtakia kila la kheri, Rais na kipenzi cha waTanzania, Dr.Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyoongoza nchi 🐒
 
Atasema hizo drama tu
 
Bile ile video saivi wangekua wanakula bia bila wasiwasi, bila shaka dem asingeshtaki popote akafanikiwa.
Hiyo video yenyewe sidhani kama ni mpya. Rafiki yangu alishawahi nitumia kama miezi mitatu nyuma (nina uhakika ni hii hii).

Na nilishawahi kuandika post humu kuna video nimetumiwa very disturbing ya binti anabakwa na jamaa anajitapa je jeshi la polisi alijaona hiyo clip. Nilijua imesambaa tayari.

Iko na nyingine jamaa alinitumia Iła sidhani kama bongo, ikabidi nimkanye awe ananitumia connections za mastaa tu sio hizo za kubaka watu.

Kuna video za hovyo Tanzania; unajua kuna nyumba Dar watu wanaenda humo wanafanya wife swap na group sex sebuleni (kama vile unaangalia ‘play boy’ swingers) jamaa yangu zote anazo hata sijui uwa anazitoa wapi.
 
Wale wanakesi mbili ya ulawiti na ubakaji na zote zitawatia hatiani. Moja ina adhabu ya miaka 30 jela na nyingine ni kifungo cha maisha jela.
Na adhabu vifungo haviambatani yaani maliza adhabu hii ikiisha anza nyingine na mbaya zaidi hata wakikata rufaa hawatoboi.

Yote kwa yote maamuzi ya Nyampara yaheshimiwe.
 
Groups za huo utumbo wote zipo telegram, kama ni mdau wa hizo mbanga ni rahisi tu kuzipata.

Kuna clubs wanachapana miti huku wapuuzi wanarekodi nazo zinasambazwa hivyo tu.

Kuna nyingine dem anapigwa pipe na njemba nyingi anaingizwa hadi chupa kutanua njia, nadhani hii ndo imeenda viral ila zipo nyingi wanawake wanafanyiwa ukatili.
 
Ye huo ndio ugonjwa wake pia rafiki yangu anaga story nyingine. Mtu mwenyewe ni rafiki yangu wa utotoni tunaweza tusiongee miezi ata sita anaishi mji mwingine. Tukitafutana ni mwendo wa video hizo mpaka unachoka mambo yake.
 
kwa vile aliefanyiwa tukio ni mwanamke kila mtu anajifanya ana huruma, kuna wanaume wengi ni wahanga wa matukio kama hayo kwa kesi inayofanana na hiyo. hao hao wanaoleta huruma kwa huyo binti ndio huwa wanafurahia linapokuwa kwa mwanamme.

TUKEMEENI UOVU NA USHENZI KWA KILA MTU NA ISIWE KWA MWANAMKE TU.
 

Wahusika mpaka wakamatwe ndiyo JW itoe tamko? kwani JW haiwajui kwamba ni watumishi wake? TPDF inakosa uwajibikaji kwa kukaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…