LHRC yawataka TCRA na Makampuni ya Mawasiliano kutoa ufafanuzi kuhusu hali ya kukatika kwa mtandao nchini

LHRC yawataka TCRA na Makampuni ya Mawasiliano kutoa ufafanuzi kuhusu hali ya kukatika kwa mtandao nchini

Kwani umeme au maji huwa hayakatiki Tanzania pamoja na kuwa watu wamelipia bili?
Kwani unalipa bili ndo unafanya matumizi au unafanya matumizi ndo unalipia bili? Nafikiri ushaona utofauti hapo
 
Sasa kwa nini ,,wapigania haki za binadamu '' hawatoi tamko na kuitaka Serikali kujieleza kwa nini watu wanakosa maji na umeme kama internet?
Ushawaza maji na umeme vikikosekana nchi nzima masaa 24 kwa siku sita itakuwaje?
 
Na ndo wameanza na hilo la internet

Ok basi watakuwa a head sana kwa maana mpaka leo hii hakuna nchi Duniani iliyosema kwamba Internet ni human right, hata UN yenyewe haijafikia huko bado, bado wanahangaika na maji, chakula, elimu, afya, n.k. , ...
 
Embu jaribu hata ku Google basi mahitaji ya mwanadamu yanazidi kuongezeka kulingana na wakati. Unavyosema UN haijafikia huko inadhihirisha ni jinsi gani ulivyo mvivu kutafiti pitia hii resolution kwanza ndo uje tujadili A/HRC/32/L.20.
 
Ni wapi UN na lini ilisemwa internet ni human right?
 
Kelele zote hizo kushindwa kuingia telegram kucheki mipicha ya ngono.
Hebu zima na uninstall VPN then rudi hapa ucomment!

Kuzimiana internet ni uzwazwa na mbinu za miaka ya 1958. Wenzetu waliostaarabika wanakuachia internet 200% access ili kama kuna jambo then walipate kirahisi. Kuzima internet ni kutishia usalama wa Taifa.

Sasa huyu mshamba kaagiza wazuie hadi SMS zenye maneno kama “kura”, ‘Uchaguzi’, Lissu etc. Huu uoga hauna mantiki kabisa.
 
Kama kukatika kwa umeme na maji kunavyotoa opportunity kwa wengine, in sawa na kutokupatikana kwa Network
Wewe bora baba yako angepewa bandjob tu mama yako, angekua amepunguza mjinga mmoja kwenye taifa
 
Mtandao ni anasa, watu mfanye kazi. Tumeamua kufanya kazi na kuachana na mitandao inayotweza utu wa Mtanzania. Malaika wamekuja kuifungilia mbali.
Angalia huyu pimbi, halafu lenyewe liko mtandaoni linakomenti. Sijui kwa nini baadhi ya Wachaga wamekula mburula namna hii.
 
Ingekuwa ni mtu unayetaka kueleweshwa na kuelewa basi ningekuekea ila unaonekana unataka kuleta ubishi hivyo siwezi kupoteza mda na energy.

Weka link bhana, ninakuahidi ukiweka link ya UN inayosema kuwa internet ni human right sita ,,leta ubishi '' hadi mwisho wa Dunia, ...
 
Washenzi sana, kuna watu tuna maduka ya kuuza vitu instagram tulikua tunalaza more than 2mil kila siku, kodi tunalipa alafu bado ujinga kama huu wanatufanyia. Kama insta biashara imepungua kwa 80% ndani ya hizi siku chache wanaoweza tumia VPN ni wachache mno.
katika Kila Biashara huwa inatakiwa KULIPA kodi.. wewe ukiwa Unafanya Biashara huko Online Unalipa Kodi??

hilo Moja

Kama nchi ikiingia ktk Machafuko Je... Utaweza Kuendelea Kufanya Hiyo Biashara yako huko Online????????

tumia Akili.. Usiwe Fala
 
Back
Top Bottom