LHRC yawataka TCRA na Makampuni ya Mawasiliano kutoa ufafanuzi kuhusu hali ya kukatika kwa mtandao nchini

LHRC yawataka TCRA na Makampuni ya Mawasiliano kutoa ufafanuzi kuhusu hali ya kukatika kwa mtandao nchini

ashukuriwe vpn, ukute wameweza kuzima wameshindwa kuwasha hahahaha
 
Wewe bora baba yako angepewa bandjob tu mama yako, angekua amepunguza mjinga mmoja kwenye taifa
Dada kama hujui, kila kwenye tatizo kuna Opportunity. Sasa wewe endelea tu kufikiri kwa kutumia matako!
 
Mtandao ni anasa, watu mfanye kazi. Tumeamua kufanya kazi na kuachana na mitandao inayotweza utu wa Mtanzania. Malaika wamekuja kuifungilia mbali.
Acha ujinga,anasa zilikuwepo tangu enzi za kristo,kulikuwa hakuna mitandao ya kijamii,
Mitandao ya kijamii ni ofisi za watu,mtandao Kama whatsaap unaingiza pesa nyingi kuriko Bandari zote za TZ,
 
Tz imekuwa nchi ya Giza., Kila Jambo linafanyiwa gizani.

Tutarajie pia bunge la kijani likifanyia Mambo yake ya kiharamia gizani!
 
Mtandao ni anasa, watu mfanye kazi. Tumeamua kufanya kazi na kuachana na mitandao inayotweza utu wa Mtanzania. Malaika wamekuja kuifungilia mbali.
...Upo Karne ya 21 Mkuu, ama upo na Wenzako ndio mnajiandaa kwenda Kupigana Vita ya MajiMaji???[emoji16][emoji16]
 
katika Kila Biashara huwa inatakiwa KULIPA kodi.. wewe ukiwa Unafanya Biashara huko Online Unalipa Kodi??

hilo Moja

Kama nchi ikiingia ktk Machafuko Je... Utaweza Kuendelea Kufanya Hiyo Biashara yako huko Online????????

tumia Akili.. Usiwe Fala
We chizi kweli, machafuko anayeyaanzisha nani? Waq ka wewe ndiyo sababu Tanzania ipo hapo hadi sa hivi linchi ovyo tu ka choo
 
Haya mambo yanatokea kwenye failed states. Kwa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Huu ni upuuzi wa kupindukia.
 
Dunia nzima imethirika na ujinga huu wa viongozi kuzuia mitandao Tanzania watu wanashindwa kuendesha shughuli zao
 
Mtandao ni anasa, watu mfanye kazi. Tumeamua kufanya kazi na kuachana na mitandao inayotweza utu wa Mtanzania. Malaika wamekuja kuifungilia mbali.
mkuu unafahamu kama mark zurkeberg ni billionaire sababu ya mtandao?

kwani kwako definition ya kufanya kazi ni nini?
 
Najua mitandao haitapata hasara kwa mimi kutotumia internet!!!
Waiting for end of GB then switchoff
 
Wewe unahisi hiyo simu yako unavyopokea na kutuma tu sms ndio unaona umuhimu siyo.

Wengine ili tuweze kuishi na kufanya kazi tunawategemea waliopo mitandaoni, au hujawahi sikia online business?

Naomba JF Moderator kabla ya kuruhusu matumizi ya anayetaka kujiunga humu, muweke questionnaires ili akishindwa abakie huko
Naunga mkono hoja wengine ilitakiwa wabaki Facebook tu, maana sioni kama wanastahili kuitwa magreat thinker.
 
Mimi naona wafunge kabisa ili akili za Watanzania zikae sawa! Wang'oe hadi minara ili hata kupiga simu isiwezekane
 
Mtandao ni anasa, watu mfanye kazi. Tumeamua kufanya kazi na kuachana na mitandao inayotweza utu wa Mtanzania. Malaika wamekuja kuifungilia mbali.
Unajuwa unachokiongea?? Mails za watu hazijakwenda zilikokusudiwa... VICOBA wamekwamishwa etc
 
Back
Top Bottom