Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwa upya maana wengi watakosa sifa hiyo.

Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lakini za Kata shida ipo (na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
 
Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwe upya maana wengi watakosa sifa hiyo.
Kitu hujui uliza, acha ku fumble
 
kwa mitihani ya siku hizi,hiyo inafikiwa na wengi,mitihani yenyewe inatungwa ya kawaida sana.ingekuwa ndo miaka ya nyuma huko hapo tungekosa madaktari na chemistry related fani.ukitaka kuhakiki ninalosema,chukua paper yeyote ya miaka ya 2000yr kurudi nyuma,au 2010 kurudi nyuma,i we chemistry au somo lolote mpe kijana wa Sasa aione,atakwambia hiz paper walirungiwa degree holder au Alevel!?
 
Huo utaratibu mbona upo tokea 2016..

Health related courses wanasoma walio na ufaulu mzuri wa PCB na sio kwa ajili ya kila mtu.

Na Chemistry ndo somo rahisi zaidi kusoma na kulifaulu advanced level.
 
kwa mitihani ya siku hizi,hiyo inafikiwa na wengi,mitihani yenyewe inatungwa ya kawaida sana.ingekuwa ndo miaka ya nyuma huko hapo tungekosa madaktari na chemistry related fani.ukitaka kuhakiki ninalosema,chukua paper yeyote,iwe chemistry au somo lolote mpe kijana wa Sasa aione,atakwambia hiz paper walirungiwa degree holder au Alevel!?
Sio kwa kiasi hicho mkuu..Reviews zipo boss,so hiyo mitihani ya zamani pia watu wanaiona.

Atleast pepa la 2013 ndo lilikuwa kiboko..kama ile physics sio poa kabisa..ila ile miaka ya nyuma ilikuwa sio migumu kama unavyotaka kusema.

Nachoona kwa sasa inawezekana kuna standardization inafanyika kupandisha ufaulu.
 
boss,zamani paper zilikuwa zinasukwa ,halafu kitu kingine access ya kupata paper za review,au tuite ,ilikuwa adimu,yaani anachotapika teacher class,ndo hicho ,huwez pata kirahisi reviews za paper mbalimbali Kama siku hizi,ziko kibao.na access ya material iko kibao.zamani mwanafunzi ulikuwa lazma uumize kichwa Sana ,kujiweka fiti na paper. Na naweza sema ili at least tupate professionals wazuri Kama wale wa zamani,alama lazma zipandishwe Kama hivo.lkn zikibaki grade zile zile Kama za zamani,Basi tutapata professionals wa kawaida Sana,yaani hawajaiva kisawasawa.
 
Miaka ya zamani PCB ya 70s, 80s, 90s mambo ya A na B hayakuwepo kwa wingi kama leo kwenye PCB /PCM.
Nakubaliana na wewe kuna standardization zikilenga kuzibeba shule za kata maana kusema kweli hiizi shule ni "dhaifu" na si kosa la watoto bali mazingira ya kusoma na kufundishia
 
C siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogo
Kwan lazima ukasome Muhas pekee ? Nenda ata kcmc, bugando, ni miongoni mwa vyuo bora sanaa hasa kcm college
 
C siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogo
Selection hufanyikaje kwani ? Kuna mtu unaweza kuta ana BBB kakosa kapata wa BCC
 
boss,zamani paper zilikuwa zinasukwa ,halafu kitu kingine access ya kupata paper za review,au tuite ,ilikuwa adimu,yaani anachotapika teacher class,ndo hicho ,huwez pata kirahisi reviews za paper mbalimbali Kama siku hizi,ziko kibao.na access ya material iko kibao.zamani mwanafunzi ulikuwa lazma uumize kichwa Sana ,kujiweka fiti na paper. Na naweza sema ili at least tupate professionals wazuri Kama wale wa zamani,alama lazma zipandishwe Kama hivo.lkn zikibaki grade zile zile Kama za zamani,Basi tutapata professionals wa kawaida Sana,yaani hawajaiva kisawasawa.
Uko sahihi..

Hata mimi naona grades za kwenda chuo zipandishwe ili wapatikane wanafunzi ambao ni bright kwelikweli na pia mitihani itungwe in such a way that bright student watachujwa kiufasaha

Now days mitihani mfano ya physics inatungwa kwa kucopy worked examples za kwenye Chand na Nelkon ni easy mwanafunzi kufaulu kwa kukamia na sio kwa kutumia akili yake kwenye changamoto mpya.
 
Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwe upya maana wengi watakosa sifa hiyo.
Mkuu sasa unataka tanzania izalishe madaktari wa UPE?
 
Usikatae, tumepita huko kuna watu nawajua waliongia muhimbili wakiwa na performance ya kawaida. ndio maana nimekuuliza unajua vigezo vya kuchagua mtu ? Au unaongea unafikiri huo mwaka wa BBC wote walio pata walikuwa na point 6 ? kwa taarifa yako kuna walio ingia na point 7 na hata 8. Ungejua systen ya kuchagua usingepingda
 
Uko sahihi..

Hata mimi naona grades za kwenda chuo zipandishwe ili wapatikane wanafunzi ambao ni bright kwelikweli na pia mitihani itungwe in such a way that bright student watachujwa kiufasaha

Now days mitihani mfano ya physics inatungwa kwa kucopy worked examples za kwenye Chand na Nelkon ni easy mwanafunzi kufaulu kwa kukamia na sio kwa kutumia akili yake kwenye changamoto mpya.
mkuu mnata mfaulu peke yenu tu ?
 
Back
Top Bottom