Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Hivi kwenda Bsc eduaction na kwenda Dioloma ya nirsing/mildwife kipi bora kwa hali ya sasa
 
kwa mitihani ya siku hizi,hiyo inafikiwa na wengi,mitihani yenyewe inatungwa ya kawaida sana.ingekuwa ndo miaka ya nyuma huko hapo tungekosa madaktari na chemistry related fani.ukitaka kuhakiki ninalosema,chukua paper yeyote ya miaka ya 2000yr kurudi nyuma,au 2010 kurudi nyuma,i we chemistry au somo lolote mpe kijana wa Sasa aione,atakwambia hiz paper walirungiwa degree holder au Alevel!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka gani mkuu? Hakuna point 7 wala 8 MUHAS MD, labda kozi nyingine.
Na wameliweka wazi kwamba kigezo cha kwanza kuchaguliwa ni ubora wa matokeo yako na si vinginevyo.

Haiwezekani mwenye point 7 akapata na 6 akakosa
Na ndio mie najua kwa MD muhas mwsho 6.
 
Shule ni Nyepesi Siku hizi....Watu wanapiga A tatu......Enzi hizo bwana Unasikia Tanzania nzima hakuna A kuna B mbili tu Tanzania nzima waliobaki makalai na D......Sijui nini Kimetokea. Mitoto imekuwa na akili sana au...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana lol.
 
Miaka ya zamani PCB ya 70s, 80s, 90s mambo ya A na B hayakuwepo kwa wingi kama leo kwenye PCB /PCM.
Nakubaliana na wewe kuna standardization zikilenga kuzibeba shule za kata maana kusema kweli hiizi shule ni "dhaifu" na si kosa la watoto bali mazingira ya kusoma na kufundishia
Miaka ya Nyuma nyenzo za kujifunzia zilikuwa ngumu, lakini Leo watu wanajifunza vitu vingi duniani bila vizingiti, Baadhi ya Shule za Private wanafunzi wanasoma moja kwa moja na Profesa wa ulaya na wanauliza maswali live sababu ya Teknolojia kukua, kwa hiyo miaka ya nyuma ni tofauti na sasa,


Elewa Sayansi inakua na kila siku watu wanafanya majaribio kuthibitisha kwa watangulizi waliopita, mfano miaka ya nyuma watu waliamini kuwa mtu mwenye madonda ya tumbo akinywa maziwa anapata nafuu, lakini sayansi ya sasa imeprove ni uongo, kwani maziwa yamegundulika ukinywa baadae yanazalisha tindikali ambayo inachangia ww kuumia, kwa hiyo waliosoma miaka ya nyuma hii elimu hawakuipata
 
Back
Top Bottom