Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Ishu sio kufaulu..ishu ni kupata quality education japo kidogo..na kuwapata watu wenye sifa stahiki wa kusomea kozi za muhimu zaidi nchini kama afya n.kmkuu mnata mfaulu peke yenu tu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu sio kufaulu..ishu ni kupata quality education japo kidogo..na kuwapata watu wenye sifa stahiki wa kusomea kozi za muhimu zaidi nchini kama afya n.kmkuu mnata mfaulu peke yenu tu ?
haya hao wazamani wenye quality education wamefanya nini cha ajabu maana hao hao ndio janga ambalo wametufikisha hapa? ambao tunasema hawakuwa na elimu nyepesi kama sasa hivi ?Ishu sio kufaulu..ishu ni kupata quality education japo kidogo..na kuwapata watu wenye sifa stahiki wa kusomea kozi za muhimu zaidi nchini kama afya n.k
Mwaka gani mkuu? Hakuna point 7 wala 8 MUHAS MD, labda kozi nyingine.Usikatae, tumepita huko kuna watu nawajua waliongia muhimbili wakiwa na performance ya kawaida. ndio maana nimekuuliza unajua vigezo vya kuchagua mtu ? Au unaongea unafikiri huo mwaka wa BBC wote walio pata walikuwa na point 6 ? kwa taarifa yako kuna walio ingia na point 7 na hata 8. Ungejua systen ya kuchagua usingepingda
Kwa dunia inavyokwenda inabidi mambo yabadilike..hao wa zamani wameplay part yao..hawa wa sasa waandaliwe kivingine na kwa kuwa wako wengi basi chujio sahihi lipite.haya hao wazamani wenye quality education wamefanya nini cha ajabu maana hao hao ndio janga ambalo wametufikisha hapa? ambao tunasema hawakuwa na elimu nyepesi kama sasa hivi ?
hapana kigezo cha kwaza ni passes. Mengine baadaye..Usikatae, tumepita huko kuna watu nawajua waliongia muhimbili wakiwa na performance ya kawaida. ndio maana nimekuuliza unajua vigezo vya kuchagua mtu ? Au unaongea unafikiri huo mwaka wa BBC wote walio pata walikuwa na point 6 ? kwa taarifa yako kuna walio ingia na point 7 na hata 8. Ungejua systen ya kuchagua usingepingda
mie namju mtu, ndio maana sikuta kuleta hoja bila kujua vigezo vya kuchagua mtu. Nina mtu mwaka 2009 au 2008 kwenye hiyo miaka alikuwa kapiga kishenzi walimtosa ikabidi aende bugando wakati walio chaguliwa wengi alikuwa kawakata pale MUHASMwaka gani mkuu? Hakuna point 7 wala 8 MUHAS MD, labda kozi nyingine.
Na wameliweka wazi kwamba kigezo cha kwanza kuchaguliwa ni ubora wa matokeo yako na si vinginevyo.
Haiwezekani mwenye point 7 akapata na 6 akakosa
Basi na ikae hivyo. Nami madaktari wa UPE siwataki.Mkuu sasa unataka tanzania izalishe madaktari wa UPE?
Tenknolojia inakuwa mkuu, elimu lazima iwe rahisi kwa kila mtu. Ndio maana hata leo computer programming ni simpe wana rahisisha , hatutakiwa kurudi nyuma.. mambo lazima yawe mepesi sawa na Teknolojia inavyo kwenda, wazee wetu hawakusoma kwa kutumia laptop ikawa.ngumu, mzungu katuletea google na laptop..Kwa dunia inavyokwenda inabidi mambo yabadilike..hao wa zamani wameplay part yao..hawa wa sasa waandaliwe kivingine na kwa kuwa wako wengi basi chujio sahihi lipite.
C siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogo
Mwaka 2018 waliowahi kufanya application ndio waliochaguliwa.Selection hufanyikaje kwani ? Kuna mtu unaweza kuta ana BBB kakosa kapata wa BCC
Upo sahihi kabisa, nahisi mfumo wao wa selection unabadirika badirika. Na wanafunzi wanapokuwa wengi sana wenye ufaulu huanza kuweka vitu vya ziada japo hubadirika pia.Mwaka 2018 waliowahi kufanya application ndio waliochaguliwa.
Dogo alikosa kisa alichelewa kuapply, alikuwa na BBC.
Nilipoenda kuulizia kisa cha kukosa ndipo nikajuzwa hivyo
You're right..Tenknolojia inakuwa mkuu, elimu lazima iwe rahisi kwa kila mtu. Ndio maana hata leo computer programming ni simpe wana rahisisha , hatutakiwa kurudi nyuma.. mambo lazima yawe mepesi sawa na Teknolojia inavyo kwenda, wazee wetu hawakusoma kwa kutumia laptop ikawa.ngumu, mzungu katuletea google na laptop..
Mimi mwenyewe nilikuwa na ufaulu kama huo nilitoswa, bahati nzuri nilichaguliwa kozi nyingine ambayo ilikuwa chaguo langu la piliUpo sahihi kabisa, nahisi mfumo wao wa selection unabadirika badirika. Na wanafunzi wanapokuwa wengi sana wenye ufaulu huanza kuweka vitu vya ziada japo hubadirika pia.
Dogo akapata wapi baada ya hapo?Mwaka 2018 waliowahi kufanya application ndio waliochaguliwa.
Dogo alikosa kisa alichelewa kuapply, alikuwa na BBC.
Nilipoenda kuulizia kisa cha kukosa ndipo nikajuzwa hivyo
Mkuu tunarudi pale pale, walimu wanao tunga (kukopi) si ni hao waliosoma kipindi hakuna standardization. Mfumo wa elimu wa tanzania umeoza from the msingi, unahitaji kufumiliwa wote.. elimu inaweza ikawa nyepesi sana na ikatoa watu quality na wenye tija sana. Nilishafanya exam moja nje ya nchi.. ni kama kunya maji.. hata pepar yao ila ukitoka hapo wewe hapo ni wa moto.. sie shida ipo kwenye mfumo mchafu..You're right..
Na quality education haiwezi kuwa ni ufaulu tu..kuna mengi sana hapa yanayohitaji mabadiliko ili kwenda na kasi hii ya dunia..ila for the meantime hizi standardization zinazofanyika sasa sio nzuri hata kama teknolojia imefanya elimu kuwa rahisi sio kufika kucopy worked examples za vitabu zenye solution na majibu na kuzileta kwenye mitihani ya ACSEE.
Inawezekana lakini. Japo ni ngumu kuamini...mie namju mtu, ndio maana sikuta kuleta hoja bila kujua vigezo vya kuchagua mtu. Nina mtu mwaka 2009 au 2008 kwenye hiyo miaka alikuwa kapiga kishenzi walimtosa ikabidi aende bugando wakati walio chaguliwa wengi alikuwa kawakata pale MUHAS
👉Hakuna advance ya kata,Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwe upya maana wengi watakosa sifa hiyo. Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lkn za Kata shida ipo ( na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
nchi yetu mifumo ya elimu na hata selection ni mibovu sana. kama tunataka kwakumuka hapo ni lazima kufumua msingi wa elimu yetu ujengwe upya, tofauti na hapo tutaendelee na mdundo huu huu paka mwisho wa dahali 😂😂😂Mimi mwenyewe nilikuwa na ufaulu kama huo nilitoswa, bahati nzuri nilichaguliwa kozi nyingine ambayo ilikuwa chaguo langu la pili