Kitu hujui uliza, acha ku fumbleJedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwe upya maana wengi watakosa sifa hiyo.
C siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogolabda mtihani ni mwepesi sanaaa
Mbona unasema Duh! Hata mwaka jana ilikuwa hivyo ila mitihani ilikuwa rahisi kuwavuta may be shule za kata?????... na hivi Jiwe hayupo wakitunga level ya A level in real sense, wengi watakosa sifaDuh!
Sio kwa kiasi hicho mkuu..Reviews zipo boss,so hiyo mitihani ya zamani pia watu wanaiona.kwa mitihani ya siku hizi,hiyo inafikiwa na wengi,mitihani yenyewe inatungwa ya kawaida sana.ingekuwa ndo miaka ya nyuma huko hapo tungekosa madaktari na chemistry related fani.ukitaka kuhakiki ninalosema,chukua paper yeyote,iwe chemistry au somo lolote mpe kijana wa Sasa aione,atakwambia hiz paper walirungiwa degree holder au Alevel!?
boss,zamani paper zilikuwa zinasukwa ,halafu kitu kingine access ya kupata paper za review,au tuite ,ilikuwa adimu,yaani anachotapika teacher class,ndo hicho ,huwez pata kirahisi reviews za paper mbalimbali Kama siku hizi,ziko kibao.na access ya material iko kibao.zamani mwanafunzi ulikuwa lazma uumize kichwa Sana ,kujiweka fiti na paper. Na naweza sema ili at least tupate professionals wazuri Kama wale wa zamani,alama lazma zipandishwe Kama hivo.lkn zikibaki grade zile zile Kama za zamani,Basi tutapata professionals wa kawaida Sana,yaani hawajaiva kisawasawa.Sio kwa kiasi hicho mkuu..Reviews zipo boss,so hiyo mitihani ya zamani pia watu wanaiona.
Atleast pepa la 2013 ndo lilikuwa kiboko..kama ile physics sio poa kabisa..ila ile miaka ya nyuma ilikuwa sio migumu kama unavyotaka kusema.
Nachoona kwa sasa inawezekana kuna standardization inafanyika kupandisha ufaulu.
Miaka ya zamani PCB ya 70s, 80s, 90s mambo ya A na B hayakuwepo kwa wingi kama leo kwenye PCB /PCM.Sio kwa kiasi hicho mkuu..Reviews zipo boss,so hiyo mitihani ya zamani pia watu wanaiona.
Atleast pepa la 2013 ndo lilikuwa kiboko..kama ile physics sio poa kabisa..ila ile miaka ya nyuma ilikuwa sio migumu kama unavyotaka kusema.
Nachoona kwa sasa inawezekana kuna standardization inafanyika kupandisha ufaulu.
Kwan lazima ukasome Muhas pekee ? Nenda ata kcmc, bugando, ni miongoni mwa vyuo bora sanaa hasa kcm collegeC siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogo
Selection hufanyikaje kwani ? Kuna mtu unaweza kuta ana BBB kakosa kapata wa BCCC siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogo
sifa?Kwan lazima ukasome Muhas pekee ? Nenda ata kcmc, bugando, ni miongoni mwa vyuo bora sanaa hasa kcm college
never,Selection hufanyikaje kwani ? Kuna mtu unaweza kuta ana BBB kakosa kapata wa BCC
Uko sahihi..boss,zamani paper zilikuwa zinasukwa ,halafu kitu kingine access ya kupata paper za review,au tuite ,ilikuwa adimu,yaani anachotapika teacher class,ndo hicho ,huwez pata kirahisi reviews za paper mbalimbali Kama siku hizi,ziko kibao.na access ya material iko kibao.zamani mwanafunzi ulikuwa lazma uumize kichwa Sana ,kujiweka fiti na paper. Na naweza sema ili at least tupate professionals wazuri Kama wale wa zamani,alama lazma zipandishwe Kama hivo.lkn zikibaki grade zile zile Kama za zamani,Basi tutapata professionals wa kawaida Sana,yaani hawajaiva kisawasawa.
Mkuu sasa unataka tanzania izalishe madaktari wa UPE?Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwe upya maana wengi watakosa sifa hiyo.
Usikatae, tumepita huko kuna watu nawajua waliongia muhimbili wakiwa na performance ya kawaida. ndio maana nimekuuliza unajua vigezo vya kuchagua mtu ? Au unaongea unafikiri huo mwaka wa BBC wote walio pata walikuwa na point 6 ? kwa taarifa yako kuna walio ingia na point 7 na hata 8. Ungejua systen ya kuchagua usingepingdanever,
mkuu mnata mfaulu peke yenu tu ?Uko sahihi..
Hata mimi naona grades za kwenda chuo zipandishwe ili wapatikane wanafunzi ambao ni bright kwelikweli na pia mitihani itungwe in such a way that bright student watachujwa kiufasaha
Now days mitihani mfano ya physics inatungwa kwa kucopy worked examples za kwenye Chand na Nelkon ni easy mwanafunzi kufaulu kwa kukamia na sio kwa kutumia akili yake kwenye changamoto mpya.
Hio C inakuwa ni minimum kwa vyuo vyote,sio MUHAS tu..Kwan lazima ukasome Muhas pekee ? Nenda ata kcmc, bugando, ni miongoni mwa vyuo bora sanaa hasa kcm college