Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Ishu sio kufaulu..ishu ni kupata quality education japo kidogo..na kuwapata watu wenye sifa stahiki wa kusomea kozi za muhimu zaidi nchini kama afya n.k
haya hao wazamani wenye quality education wamefanya nini cha ajabu maana hao hao ndio janga ambalo wametufikisha hapa? ambao tunasema hawakuwa na elimu nyepesi kama sasa hivi ?
 
Mwaka gani mkuu? Hakuna point 7 wala 8 MUHAS MD, labda kozi nyingine.
Na wameliweka wazi kwamba kigezo cha kwanza kuchaguliwa ni ubora wa matokeo yako na si vinginevyo.

Haiwezekani mwenye point 7 akapata na 6 akakosa
 
Hizi grade za C kuanzia 60-69 zimekuwepo tangu 2016, Kwahiyo ilo siyo suala geni na watu wamekua wakivuna walichopanda tangu wakati huo.
 
haya hao wazamani wenye quality education wamefanya nini cha ajabu maana hao hao ndio janga ambalo wametufikisha hapa? ambao tunasema hawakuwa na elimu nyepesi kama sasa hivi ?
Kwa dunia inavyokwenda inabidi mambo yabadilike..hao wa zamani wameplay part yao..hawa wa sasa waandaliwe kivingine na kwa kuwa wako wengi basi chujio sahihi lipite.

Na quality education haiwezi kuwa ni ufaulu tu..kuna mengi sana hapa yanayohitaji mabadiliko..ila for the meantime hizi standardization zinazofanyika sasa sio nzuri.
 
hapana kigezo cha kwaza ni passes. Mengine baadaye..
 
Mwaka gani mkuu? Hakuna point 7 wala 8 MUHAS MD, labda kozi nyingine.
Na wameliweka wazi kwamba kigezo cha kwanza kuchaguliwa ni ubora wa matokeo yako na si vinginevyo.

Haiwezekani mwenye point 7 akapata na 6 akakosa
mie namju mtu, ndio maana sikuta kuleta hoja bila kujua vigezo vya kuchagua mtu. Nina mtu mwaka 2009 au 2008 kwenye hiyo miaka alikuwa kapiga kishenzi walimtosa ikabidi aende bugando wakati walio chaguliwa wengi alikuwa kawakata pale MUHAS
 
Kwa dunia inavyokwenda inabidi mambo yabadilike..hao wa zamani wameplay part yao..hawa wa sasa waandaliwe kivingine na kwa kuwa wako wengi basi chujio sahihi lipite.
Tenknolojia inakuwa mkuu, elimu lazima iwe rahisi kwa kila mtu. Ndio maana hata leo computer programming ni simpe wana rahisisha , hatutakiwa kurudi nyuma.. mambo lazima yawe mepesi sawa na Teknolojia inavyo kwenda, wazee wetu hawakusoma kwa kutumia laptop ikawa.ngumu, mzungu katuletea google na laptop..
 
C siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogo
Selection hufanyikaje kwani ? Kuna mtu unaweza kuta ana BBB kakosa kapata wa BCC
Mwaka 2018 waliowahi kufanya application ndio waliochaguliwa.

Dogo alikosa kisa alichelewa kuapply, alikuwa na BBC.

Nilipoenda kuulizia kisa cha kukosa ndipo nikajuzwa hivyo
 
Mwaka 2018 waliowahi kufanya application ndio waliochaguliwa.

Dogo alikosa kisa alichelewa kuapply, alikuwa na BBC.

Nilipoenda kuulizia kisa cha kukosa ndipo nikajuzwa hivyo
Upo sahihi kabisa, nahisi mfumo wao wa selection unabadirika badirika. Na wanafunzi wanapokuwa wengi sana wenye ufaulu huanza kuweka vitu vya ziada japo hubadirika pia.
 
You're right..

Na quality education haiwezi kuwa ni ufaulu tu..kuna mengi sana hapa yanayohitaji mabadiliko ili kwenda na kasi hii ya dunia..ila for the meantime hizi standardization zinazofanyika sasa sio nzuri hata kama teknolojia imefanya elimu kuwa rahisi sio kufika kucopy worked examples za vitabu zenye solution na majibu na kuzileta kwenye mitihani ya ACSEE.
 
Upo sahihi kabisa, nahisi mfumo wao wa selection unabadirika badirika. Na wanafunzi wanapokuwa wengi sana wenye ufaulu huanza kuweka vitu vya ziada japo hubadirika pia.
Mimi mwenyewe nilikuwa na ufaulu kama huo nilitoswa, bahati nzuri nilichaguliwa kozi nyingine ambayo ilikuwa chaguo langu la pili
 
Mkuu tunarudi pale pale, walimu wanao tunga (kukopi) si ni hao waliosoma kipindi hakuna standardization. Mfumo wa elimu wa tanzania umeoza from the msingi, unahitaji kufumiliwa wote.. elimu inaweza ikawa nyepesi sana na ikatoa watu quality na wenye tija sana. Nilishafanya exam moja nje ya nchi.. ni kama kunya maji.. hata pepar yao ila ukitoka hapo wewe hapo ni wa moto.. sie shida ipo kwenye mfumo mchafu..
 
mie namju mtu, ndio maana sikuta kuleta hoja bila kujua vigezo vya kuchagua mtu. Nina mtu mwaka 2009 au 2008 kwenye hiyo miaka alikuwa kapiga kishenzi walimtosa ikabidi aende bugando wakati walio chaguliwa wengi alikuwa kawakata pale MUHAS
Inawezekana lakini. Japo ni ngumu kuamini...
 
๐Ÿ‘‰Hakuna advance ya kata,
๐Ÿ‘‰. Kwa advance shule za private huwa ni wakawaida Sana Bora govt,
๐Ÿ‘‰wewe sio wa kwanza kuwekewa hizo grades
๐Ÿ‘‰health related programs unaweza soma
๐Ÿ‘‰Ila Kama una c moja ya chemistry na una d za masomo mengine sahau kuhusu uuguzi katika ngaz ya degree
๐Ÿ‘‰Af acha kukariri maisha elimu ya bongo haikufikishi kwenye ndoto zako Ila inakupangia(mfumo na ubora wa matokeo )
๐Ÿ‘‰Kuna course Bora kuliko course za afya
๐Ÿ‘‰ Not to play the game doesn't mean that u can't change the score
๐Ÿ‘‰
 
Mimi mwenyewe nilikuwa na ufaulu kama huo nilitoswa, bahati nzuri nilichaguliwa kozi nyingine ambayo ilikuwa chaguo langu la pili
nchi yetu mifumo ya elimu na hata selection ni mibovu sana. kama tunataka kwakumuka hapo ni lazima kufumua msingi wa elimu yetu ujengwe upya, tofauti na hapo tutaendelee na mdundo huu huu paka mwisho wa dahali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ