Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Hivi kwenda Bsc eduaction na kwenda Dioloma ya nirsing/mildwife kipi bora kwa hali ya sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka gani mkuu? Hakuna point 7 wala 8 MUHAS MD, labda kozi nyingine.
Na wameliweka wazi kwamba kigezo cha kwanza kuchaguliwa ni ubora wa matokeo yako na si vinginevyo.

Haiwezekani mwenye point 7 akapata na 6 akakosa
Na ndio mie najua kwa MD muhas mwsho 6.
 
Shule ni Nyepesi Siku hizi....Watu wanapiga A tatu......Enzi hizo bwana Unasikia Tanzania nzima hakuna A kuna B mbili tu Tanzania nzima waliobaki makalai na D......Sijui nini Kimetokea. Mitoto imekuwa na akili sana au...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana lol.
 
Miaka ya Nyuma nyenzo za kujifunzia zilikuwa ngumu, lakini Leo watu wanajifunza vitu vingi duniani bila vizingiti, Baadhi ya Shule za Private wanafunzi wanasoma moja kwa moja na Profesa wa ulaya na wanauliza maswali live sababu ya Teknolojia kukua, kwa hiyo miaka ya nyuma ni tofauti na sasa,


Elewa Sayansi inakua na kila siku watu wanafanya majaribio kuthibitisha kwa watangulizi waliopita, mfano miaka ya nyuma watu waliamini kuwa mtu mwenye madonda ya tumbo akinywa maziwa anapata nafuu, lakini sayansi ya sasa imeprove ni uongo, kwani maziwa yamegundulika ukinywa baadae yanazalisha tindikali ambayo inachangia ww kuumia, kwa hiyo waliosoma miaka ya nyuma hii elimu hawakuipata
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Shule ni Nyepesi Siku hizi....Watu wanapiga A tatu......Enzi hizo bwana Unasikia Tanzania nzima hakuna A kuna B mbili tu Tanzania nzima waliobaki makalai na D......Sijui nini Kimetokea. Mitoto imekuwa na akili sana au...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…