Liberia yaiomba Oman kusitisha utoaji wa Viza za Kazi za Nyumbani kwa Raia wake

Liberia yaiomba Oman kusitisha utoaji wa Viza za Kazi za Nyumbani kwa Raia wake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao

Afisa wa Serikali ya #Oman amesema ombi la kusitisha utoaji wa viza litazingatiwa lakini akasisitiza kuwa Serikali ya Liberia haipaswi kuchukua kila kitu kwenye vyombo vya habari kuwa ukweli

Aidha, katika miaka ya karibuni kumekuwa na ripoti za Watanzania wanaofanya kazi nchini humo kupitia aina mbalimbali za unyanyasaji ikiwemo wa kingono na kutolipwa mishahara na waajiri wao

...................................................

The Liberian government has requested authorities in the Arabian country of Oman to immediately halt the issuance of visas to Liberians seeking to travel to the country for domestic employment.

The request comes after a group of women already in the country posted graphic images of sexual abuse and other forms of mistreatment they said they were going through in the hands of their so-called masters.

In a virtual meeting, Liberia’s Labour Minister Charles Gibson differed with officials of Oman’s Global Affairs department who had described some of the reports by the Liberians as unsubstantiated media claims.

“We are not listening to media reports,” Mr Gibson said. “We are receiving WhatsApp messages, videos from those girls themselves, showing us graphically how they are being mistreated; some of them were even put into solitary confinement by their hosts.”

He said some of the women were being raped and others brutalised which "is very much unacceptable”.
An Omani government official has said the request to halt visa issuance will be considered but insisted the Liberian government should not take everything in the media to be the truth.

Source: BBC
 
Hapa ndipo MUNGU anabakia kuwa kuwa MUNGU ebu fikiria hawa wanyama(waarabu) wangekuwa Wana nguvu za ushawishi kama wazungu hii dunia ingekuwa kwenye Hali gani? MUNGU anajua mioyo Yao ndiyo maana wanabakia kuwa hivyo walivyo Kwa ukatili huu wanaofanya Kwa waafrica
 
... nikajua ni kejeli za mitandaoni tu; kumbe hadi ngazi za kidiplomasia kimataifa inajulikana kufanya kazi ndogo ndogo uarabuni ni zaidi ya Jahannam! Hatari sana.
 
Umasikini uliokithiri,serikali za Africa(Liberia) ziboreshe maisha kwa raia wake wasiende kufanya kazi kwa hao nguruwe.
hao wa Oman ni mbwa ni wanyama watu wabaya sana,fatilieni video za matukio ya huko mtaamini wanachokisema serikali ya Liberia.
nilishawai kuvunja mpango kwa binti aliyekua anafanyiwa mpango wa kwenda huko kufanya kazi za ndani kwa hao mbwa.
 
Waarabu wote kabisa ni wanyama sana !
 
Waarabu pamoja na kujifanya ni wacha-mungu Ila bado Wana roho za kinyama Sana hawa watu hawana tofauti na mashetani
 
Umasikini uliokithiri,serikali za Africa(Liberia) ziboreshe maisha kwa raia wake wasiende kufanya kazi kwa hao nguruwe.
hao wa Oman ni mbwa ni wanyama watu wabaya sana,fatilieni video za matukio ya huko mtaamini wanachokisema serikali ya Liberia.
nilishawai kuvunja mpango kwa binti aliyekua anafanyiwa mpango wa kwenda huko kufanya kazi za ndani kwa hao mbwa.
Mbwa na nguruwe ni mama yako. Swain wahed.
 
Umasikini uliokithiri,serikali za Africa(Liberia) ziboreshe maisha kwa raia wake wasiende kufanya kazi kwa hao nguruwe.
hao wa Oman ni mbwa ni wanyama watu wabaya sana,fatilieni video za matukio ya huko mtaamini wanachokisema serikali ya Liberia.
nilishawai kuvunja mpango kwa binti aliyekua anafanyiwa mpango wa kwenda huko kufanya kazi za ndani kwa hao mbwa.
Ndio tatizo la nchi hizi za kipuuz hizi nchi zetu ,watu wakiwa na maisha mazuri hawatatamani kwenda huko kuzimu kuteseka na odd jobs tena manyanyaso juu. Ni ujinga uliokithiri
 
Back
Top Bottom