Library au huduma za kipesa kama Tigo Pesa

Sijakupata, kwamba biashara hiyo ni halali kinyume na nilivyosema au una maanisha si halali?
Tusipinde kona.

Siyo halali.

Ila Bongo Movies wakaivalia njuga kwa kudai wao wanakosa soko.

Now nataka uniambie kama Season ambayo umewahi kuiangalia uliilipia, au muziki uliowahi kudownload mtandaoni.

So hoja ulizozisema, alizisema Nape, akazisema Siro na Makonda, ila haikua kwavile biashara siyo halali ila ni kwakua Bongo Muvi wanasema soko lao linabanwa.

Hichi kipindi ndiyo Ray na JB walizunguka sana katika ziara za Magufuli. So hoja ni legit ila zinatumika kupambana kwa manufaa ya bongo movie siyo manufaa ya wenye hizo muvi au miziki.
 

Ooh. Mekusoma vyema. Kaazi kweli kweli.
 
Nawe tupe changamoto na faida za hiyo kazi yako ili tunaotaka kuja huko tujifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe mrejesho mkuu ulifanya nini na unaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…