Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Tusipinde kona.Sijakupata, kwamba biashara hiyo ni halali kinyume na nilivyosema au una maanisha si halali?
Siyo halali.
Ila Bongo Movies wakaivalia njuga kwa kudai wao wanakosa soko.
Now nataka uniambie kama Season ambayo umewahi kuiangalia uliilipia, au muziki uliowahi kudownload mtandaoni.
So hoja ulizozisema, alizisema Nape, akazisema Siro na Makonda, ila haikua kwavile biashara siyo halali ila ni kwakua Bongo Muvi wanasema soko lao linabanwa.
Hichi kipindi ndiyo Ray na JB walizunguka sana katika ziara za Magufuli. So hoja ni legit ila zinatumika kupambana kwa manufaa ya bongo movie siyo manufaa ya wenye hizo muvi au miziki.