Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

Jamaa walituambia huyu dhaifu, naye akakubaliana nao akaona dawa ni kuleta mtemi aka mkali....sasa Taifa na watanzania wamejifunza watanzania kumbe wanapenda viongozi wakali na hawapendi uhuru..
 
Nimemuona Mpenda ndizi hapo kakaa ule mkao wake.

Na hapo hapo nimeona sehemu ya tatizo, serikali hizi mbili, ile ya agent wa lucifer na hii ya huyu mama wa kizanzibar ni kwamba hawana watu wenye caliber kama ya mpenda ndizi.

Mkwere na mapungufu yake mengi kama binaadamu wote tulivyo na mapungufu, lakini kwenye upande wa kupanga team alikuwa mzuri only that he over delegated if not mismanaged his teams.
 
Hivi enzi za JK hakukuwa na IGP ili atumwe kukutana na wapinzani ?
 
Kuna mtu atakuja akuulize, kwani kuna ubaya gani ikiwa mtu hataki kukutana nao kama hivyo?
Mimi nitamshangaa tu mtu wa namna hiyo...

Kibinadamu hata siyo kawaida mtu kukataa suluhu
 
Jakaya Kikwete: "....Sasa kina Mbowe wanasema "Civil disobedience, civil disobedience", nikaona hii siyo nzuri maana tungeishia kupigana virungu na kushikana na kushitakiana, nikaona ni muhimu tuzungumze...."
 
Back
Top Bottom