The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Hii itakuwa roho mbaya na ushetani usiovumilika.Kuna mtu atakuja akuulize, kwani kuna ubaya gani ikiwa mtu hataki kukutana nao kama hivyo?
Mimi nitamshangaa tu mtu wa namna hiyo...Kuna mtu atakuja akuulize, kwani kuna ubaya gani ikiwa mtu hataki kukutana nao kama hivyo?
Kuna ubaya gani??? Tunaulizana Leo?? Huyo muungwana baada ya kufanya hivyo si mlisema hafai ni dhaifu na kazi yake ana cheka cheka tu???