ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo
Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.
Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo