Libya na Iraq kuna amani ya ajabu. Sasa ni maendeleo tu

Iraq kipindi cha Sadam ilikuwa ni moja wapo ya taifa lenye uchumi mkubwa na Imara hapo mashariki ya kati.
Libya chini ya Gadaffi ni moja wapo ya taifa ambalo raia wake walikuwa wanaishi maisha ya kiwango cha juu kuliko taifa lolote barani Africa.

Hapo hawafanyi maendeleo bali wanarudisha miundo mbinu iliyo haribiwa na uvamizi wa Marekani na vibaraka wake.
Sio Africa tu bali ni dunia yote
 
View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867

Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.

Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo

Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.

Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Huna unalolijua zaidi ya kuandika ujinga tu
 
Unaelewa ulichokiandika lakini....au umeamka asubuhi ukaona utupie chchte cha kuchafua Hali ya hewa.....kwhyo invasion iloyofanywa na NATO kwny hayo mataifa imesaidia kuweka serikali zinazoletq maendeleo kwa raia sio???....ndo unqchojaribu kutudanganya nacho hmu sio....ukishakuwa mlokole hata reasoning capacity nayo inapungua sana....na mfano mmojawapo ni huu hapa
allah akbar...
 
Trump aliwahi kusema kuwa waarabu na WA Africa ni wajinga sana ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe

Uzuri wa Trump sio mnafiki ni msema kweli
Kama wanavyo una waarabu wa Ukraine na waafrika wa Russia au waafrika wa Myanmar na waarabu wa kolombia Trumpet hua anaongea points sana ila kwa hapa kapuyanga
 
View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867

Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.

Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo

Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.

Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Nilidhani kijana utakua umepungua kuropoka kumbe unazidi kuropoka tu .
Hivi unajua kama Libya ilikua unaishi maisha mazuri kabla ya sasa!?

Hivi unajua kama Libya ilikua miongoni mwa mataifa yasiyokua na deni la nje!?
Ila Sasa hivi Libya ina DENI KUBWA LA NJE pia Libya imepitia nyakati ngumu sana hadi kufikia hapo baada ya kufa Gaddafi.

Iraq ndio usiseme bado ni political unstable,huko mikoa ya mbali ukikanyaga vibaya unakumbana na bomu la kutegwa unavunjwa miguu.
PKK Kurdish fighters bado nao hufanya vuruga za hapa na pale.
Hujui unachoongea kijana unaropoka tu.

Mwisho,kuhusu Libya yule aliyetuliza amani ni Qatar,Kuna mpinzani ambaye alikua ni mfuasi wa Gaddafi ambaye alikua anaongoza mashambulizi Kwa serikalia ya sasa ya Libya alitulizwa baada ya mikutano kadhaa ya upatanishi nchini Qatar.
 
Hao kwa mafuta walionayo kuendelea ni kawaida tu... Tatizo lao ni moja tu, muda wowote wanakinukisha na kurudi tena nyuma..
 
Moja ya uzi wa kipumbavu sana hapa jukwaa la kimataifa.

Hayo mataifa hayatakuja kufikia hali nzuri ya kiuchumi waliyokuwa nayo kabla ya mashambulizi ya Marekani na mashoga zake
 
Trump aliwahi kusema kuwa waarabu na WA Africa ni wajinga sana ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe

Uzuri wa Trump sio mnafiki ni msema kweli
Kabisa huyu mzee uwaga siyo mnafiki na aliongeza kwa kusema bila kupepesa macho kwamba Ugaidi ni uislam fulstop
 
View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867

Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.

Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo

Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.

Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Wacha uongo, Libya hakuna maendeleo yoyote. Iraqi nchi imeharibika... Nimeshajua dini yako tayari wewe ni yule wa "kuunga mkono taifa teulo" ambalo linaendelea kufanya mauaji..\
 
View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867

Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.

Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo

Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.

Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Bwege we Sadam aliendeleza Iraq sana poa Gaddafi. Wakati wa Gaddafi uliona Mlibya anatafuta kazi nje ya nchi yake, hakuna Mlibya alikuwa na deni bank, nyumba bure acheni uwongo.
 
Back
Top Bottom