Unaelewa ulichokiandika lakini....au umeamka asubuhi ukaona utupie chchte cha kuchafua Hali ya hewa.....kwhyo invasion iloyofanywa na NATO kwny hayo mataifa imesaidia kuweka serikali zinazoletq maendeleo kwa raia sio???....ndo unqchojaribu kutudanganya nacho hmu sio....ukishakuwa mlokole hata reasoning capacity nayo inapungua sana....na mfano mmojawapo ni huu hapaView attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo
Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.
Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Irudie jina lake la kale Mesopotamia au sio?Ni wakati sasa Iraq ibadili jina
Hujamuelewa mleta mada!Unaelewa ulichokiandika lakini....au umeamka asubuhi ukaona utupie chchte cha kuchafua Hali ya hewa.....kwhyo invasion iloyofanywa na NATO kwny hayo mataifa imesaidia kuweka serikali zinazoletq maendeleo kwa raia sio???....ndo unqchojaribu kutudanganya nacho hmu sio....ukishakuwa mlokole hata reasoning capacity nayo inapungua sana....na mfano mmojawapo ni huu hapa
Ni jina lake la kale au ni wagiriki ndio waliita hivyo?Irudie jina lake la kale Mesopotamia au sio?
Huyo mpumbavu sijui kaamka na bangi kichwani hajui kuwa Libya mpaka sasa Tripol ina tawala mbili na maeneo mengine ya nchi watu wamejimegea na kuweka tawala zao ikiwemo baadhi ya maeneo hasa yenye mafuta yapo chini ya Nato.Babaako aliuza ng'ombe alafu akakupeleka ng'ombe wewe shule.
Libya na Iraq kuna amani? Mpaka muda marekani na washirika wake wananyonya mafuta ya Libya na Iraq kibabe huku wakiua raia hovyohovyo.
Hata ndege za Israel zilizofanya shambulizi kule Iran zilikatiza anga la Iraq bila kuomba kibali kutokana na usalama hafifu nchini Iraq.
Wananchi wa hayo mataifa wanakufa mamia baharini wakikimbia nchi zao zilizoharibiwa na mataifa ya NATO
Duh wewe jamaa! Hoja yako ni; unajiita au unaitwa. Au, jina unajipa au unapewa na wengine.Ni jina lake la kale au ni wagiriki ndio waliita hivyo?
We ni mpuuuzi na mtu wa havyo ....unasaidia kueneza propaganda kwa faida ya Nani.View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo
Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.
Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Hata Babylon itakuwa poaIrudie jina lake la kale Mesopotamia au sio?
Vipi Tanzani kwa mazezeta wajinga?View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo
Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.
Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Duh wewe jamaa! Hoja yako ni; unajiita au unaitwa. Au, jina unajipa au unapewa na wengine.
Kwa kawaida majina ya eneo, nchi, na jamii yanaweza kutolewa wahusika wa eneo, nchi au jamii husika au yaweza kutolewa na wasiohusika. Litakalozoeleka zaidi na wengi ndio huwa jina rasmi kwa ngazi ya jamii husika.
Mfano, wajapan wanaita nchi yao Nippon but jina rasmi kimataifa ni Japan. Watanzania tunaitambua Portugal kama Ureno kwa ngazi ya kitanzania hilo ni jina rasmi la ile nchi ila kwa jamii ya kimataifa ni Portugal; etc. etc. etc.
Japokuwa Trump hakuwahi kusema hayo maneno. Lakini niambie ni jamii gani ya binadamu hawajawahi kupigana?Trump aliwahi kusema kuwa waarabu na WA Africa ni wajinga sana ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe
Uzuri wa Trump sio mnafiki ni msema kweli