Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Sio Africa tu bali ni dunia yoteIraq kipindi cha Sadam ilikuwa ni moja wapo ya taifa lenye uchumi mkubwa na Imara hapo mashariki ya kati.
Libya chini ya Gadaffi ni moja wapo ya taifa ambalo raia wake walikuwa wanaishi maisha ya kiwango cha juu kuliko taifa lolote barani Africa.
Hapo hawafanyi maendeleo bali wanarudisha miundo mbinu iliyo haribiwa na uvamizi wa Marekani na vibaraka wake.
Huna unalolijua zaidi ya kuandika ujinga tuView attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo
Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.
Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
allah akbar...Unaelewa ulichokiandika lakini....au umeamka asubuhi ukaona utupie chchte cha kuchafua Hali ya hewa.....kwhyo invasion iloyofanywa na NATO kwny hayo mataifa imesaidia kuweka serikali zinazoletq maendeleo kwa raia sio???....ndo unqchojaribu kutudanganya nacho hmu sio....ukishakuwa mlokole hata reasoning capacity nayo inapungua sana....na mfano mmojawapo ni huu hapa
Kama wanavyo una waarabu wa Ukraine na waafrika wa Russia au waafrika wa Myanmar na waarabu wa kolombia Trumpet hua anaongea points sana ila kwa hapa kapuyangaTrump aliwahi kusema kuwa waarabu na WA Africa ni wajinga sana ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe
Uzuri wa Trump sio mnafiki ni msema kweli
Nilidhani kijana utakua umepungua kuropoka kumbe unazidi kuropoka tu .View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo
Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.
Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Mama anafanya, kazi iendelee.Achana na ya uko ongelea inchi mama Tanzania
Oil is dangerous businessHao kwa mafuta walionayo kuendelea ni kawaida tu... Tatizo lao ni moja tu, muda wowote wanakinukisha na kurudi tena nyuma..
Hapo ndipo alipofikia. Huoni kaingiza udini hapo?Hujamuelewa mleta mada!
Kabisa huyu mzee uwaga siyo mnafiki na aliongeza kwa kusema bila kupepesa macho kwamba Ugaidi ni uislam fulstopTrump aliwahi kusema kuwa waarabu na WA Africa ni wajinga sana ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe
Uzuri wa Trump sio mnafiki ni msema kweli
Wacha uongo, Libya hakuna maendeleo yoyote. Iraqi nchi imeharibika... Nimeshajua dini yako tayari wewe ni yule wa "kuunga mkono taifa teulo" ambalo linaendelea kufanya mauaji..\View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo
Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka Sana.
Kweli Gaddafi na Saddam walichelewesha Sana Maendeleo. Sasahivi Iraq ingekuwa kama Dubai. Hata Iran ni hivyo hivyo. Utawala wa Iran unachelewesha Sana Maendeleo
Mpango gani huo ?Bora walimfurusha Ghaddafi maana alikua na mpango ovu dhidi ya Africa
Kusilimisha bara la AfricaMpango gani huo ?
UjingaKusilimisha bara la Africa
Bwege we Sadam aliendeleza Iraq sana poa Gaddafi. Wakati wa Gaddafi uliona Mlibya anatafuta kazi nje ya nchi yake, hakuna Mlibya alikuwa na deni bank, nyumba bure acheni uwongo.View attachment 3162865View attachment 3162866View attachment 3162867