Libya: Tume ya Uchaguzi yakataa maombi ya Urais ya Saif al-Islam Gaddafi

Libya: Tume ya Uchaguzi yakataa maombi ya Urais ya Saif al-Islam Gaddafi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Tume ya Uchaguzi Nchini Libya imekataa maombi ya Urais ya Wagombea 25 akiwemo Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi wa Taifa hilo, Muammar Gaddafi wakidai ni kutokana na sababu za kisheria

Tume hiyo imesema Saif al-Islam Gaddafi anakosa vigezo kwasababu alihukumiwa. Mahakama Jijini Tripoli ilimhukumu kifo bila kuwepo Mahakamani mwaka 2015 kwa uhalifu wa kivita

Gaddafi alizua utata baada ya kutangaza atawania Urais wa Libya. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ilitoa Hati ya kumkamata kwa tuhuma za uhalifu wa kivita na mauaji aliyotenda Baba yake alipokuwa Madarakani

======

The son of Libya’s late leader Muammar Gaddafi has been excluded from running in the 24 December presidential elections.

The electoral commission rejected the candidacy of several applicants including Saif al-Islam Gaddafi, citing "legal reasons", local media reported.

Mr Gaddafi had sparked controversy after he announced he would run for president.

He is wanted by the International Criminal Court for alleged war crimes and murder committed when his father ruled the North African country.

The application of strongman Khalfa Haftar has also caused a stir in the country as he is facing criminal charges in US courts, but it is unclear if he's among those whose application have been rejected.

Libyan military prosecutors had asked the electoral commission to stop processing the candidacy paperwork of both Mr Gaddafi and Mr Haftar until they answer questions over the accusations.

Sixty people submitted applications to run for president of Libya by Monday's deadline.

Women's rights activist Leila Ben Khalifa, 46, is the only female aspirant.

Source: BBC
 
Hivi Anaetakiwa Kufikishwa Mahakama Ya ICC Ni Nani Kati Ya Al- Islam Na Obama
Kwa habari za kwenye kahawa Obama ndiye anapaswa kufikishwa mahakamani.

Ila kwenye viunga vya sheria, logic na fact inabidi kizazi cha kwanza cha Gaddafi na cha nne wapigwe marufuku kujihusisha na Siasa za Libya.
 
kwa habari za kwenye kahawa Obama ndiye anapaswa kufikishwa mahakamani.
ila kwenye viunga vya sheria, logic na fact inabidi kizazi cha kwanza cha Gaddafi na cha nne wapigwe marufuku kujihusisha na Siasa za Libya.

Ni kweli kabisa inabidi kizazi chote cha gadafi kipigwe marufuku kujihusisha na siasa Libya;

Kwasababu gaddafi alisomesha walibya wote na kuwatibu bule, gaddafi alitoa posho ya dolla Elfu 5, kwa kila mwanamke aliyekuwa mjamzito kwa ajili ya kujikimu, Gaddafi ndiye aliekuwa anawalipa mshahala waitimu wote wa chuo kama waajiliwa wengine mpka pale serikali itakapo wapa ajila, ndiye huyu huyu gaddafi aliyekuwa anauza mikate 40 kwa dolla moja, ndiye huyu huyu gaddafi asiyetakiwa kizazi chake kutawala tena libya kwa maana libya ya sasa tangu marekani na magaidi wenzie wavamie imekuwa sehemu salama kama peponi, uchumi umekuwa watu wanaamani hakuna vita, watu wanakula raha tu.
 
Back
Top Bottom