Unauthibitisho gani, kitengo hicho kiliitwaje na kiongozi wake alikuwa nani?
Wewe uliwahi kukutana na mmojwapo waliukuwa wanaunda hicho kitengo ukajiridhisha kwamba hawana weledi kwa kazi hiyo?
Wewe unataalum yoyote kuhusiana na usalama wa taifa zaidi ya ubashiri wa kinyota?
Ni nani mwenye kipimo sahihi kwamba kitendo kilichotekelezwa kilikuwa kwa maslahi ya taifa au hapana?
Kwamimi unadai kitengo kiliundwa sijui na nani kwa maslahi binafsi?
Hivi unaelewa kwamba unapotajwa rais ndio unaamanisha nchi?
Kwa hiyo unataka kuwaambia jamii kwamba kabla ya SSH aliyekuwepo hakuwa rais ila alikuwa mtu binafsi?
Tafkari na ujibu kwa ufasaha
Mshana Jr