Kwisense
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 475
- 1,142
Unafikiri hawajui, kuna kitengo kilikuwepo nje ya kitengo ambacho kilishirikisha baadhi ya watu wachache wa kitengo na raia wa kawaida wenye roho mbaya. Mission zao nyingi zilikuwa za kidwanzi mfano ni ile iliyofanyika Tarime kwa Zakaria, Kibondo kwa Kanguye, na kwa Roma Mkatoriki. Mfano fikiria mtu kama Roma ambae hana effect yoyote hata kwenye kata unaenda kumteka na kumtesa..!Kulitengenezwa kitengo mbadala ambacho si cha taifa bali cha chama
Inahitajika akili kubwa sana kuepusha matatizo ya aina hii tuliyopitia ili yasije kudondoka kwa mtu wa aina ile maana ni hatari kwa taifa na watu wake, tathimini ya viongozi bora wa taifa na siyo bora kiongozi inahitajika ili kutuepusha kuangukia mikononi mwa watu washamba wa madaraka na wanaolewa sifa kisa kumiliki siraha