Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam Jamiiforum
Leo naomba kushare kitu fulani ambacho naamini kitatupa experience kubwa kwa sisi vijana wa kileo kutoka kwenu wana jamiiforum wakongwe na ambao mnajua mambo mengi kwenye nchi yetu hii ya Tanzania.
Yapata wiki sasa imepita nilikuwa nahudhuria semina ya Askofu. Mkama wa kanisa la EAGT SAYUNI (Lango la Baraka).
Alifundisha na pia kuombea mambo mengi sana lakini kuna somo moja ambalo kwangu mimi liliniteka sana hisia, Title ya somo ilikuwa ni KARAMA NA VIPAWA VYA ROHO MTAKATIFU KATIKA KANISA.
Licha ya Baadhi ya vifungu vya biblia lakini mimi nilipendezwa sana na baadhi ya mifano hai ya watu waliojaaliwa vipawa mbali mbali katika imani hapa Tanzania, mfano vipawa vya uponyaji, miujiza, utambuzi wa lugha na kadharika.
Eti; Unaambiwa kwamba hapa Tanzania paliwahi kutokea nabii mmoja ambaye alikuwa hadi anapewa pesa na ikulu kwa ajili ya kuliombea taifa na kweli Taifa linatulia, unaambiwa alikuwa anazunguka Tanzania nzima kwa hela ya serikali.
Eti; Unaambia kuliwahi kutokea mchungaji mmoja alikuwa na imani kiasi cha kwamba siku moja alikuwa anaenda site kwake maeneo ya mbezi ya kimara wakakutana na mto akamwambia dereva vuka hapo gari likapaa.
Eti; Unaambiwa hapa Tanzania alishawahi kuja mchungaji mmoja kutoka nnje, lakini kwa Karama aliyopewa na Mungu hofu ya mungu ikatawala mpaka wiki nzima hakuna mtu au kibaka au mwizi aliyekaa kwenye kituo chochote cha polisi Dsm nzima
Sasa wana jamiiforum nimeleta uzi huu ili nyie wakongwe mtupe experience jinsi imani za kweli zilivyokuwa zinatawala miaka hiyo ya 80, 90 mpaka mwanzo wa miaka ya 2000, ili sisi vijana tijifunze.
Natanguliza shukrani.
(Pia karibuni ofisini kwangu Ukonga Banana kwa huduma zote za kisheria, ushauri kuhusu kodi, kusajili biashara, kampuni na Taasisi, strategic project management, business proposal, na all kinds of business consultancy)
Mawasiliano; 0710 782874 & 0693 784004