Licha ya Botswana kuwa nchi Tajiri na idadi ndogo ya watu Milioni 2.5 tuu lakini wananchi wake hawana ajira

Umeandika kishabiki sana, sijui umefanya hivyo kwa faida ya nani!!!! As if hujui mkakati wa wanasiasa kuhusu vijana kuwa na nguvu ya kiuchumi (kuwa na fedha japo kidogo).
 
Unafikiri nchi zote duniani zina bodaboda, bajaji, winga, wapiga debe na watembeza maji, pipi, nazi, machungwa, ukwaju n.k barabarani ??
Nchi za Africa hata mkojo ukikubana unaweza tafuta sehemu u take short call,Kuna miji duniani huoni hio sehemu kabisa kabisa.ni tiles ground mji wote na kamera za kutosha plus movement kubwa za watu kila sehemu.
 
Nchi za Africa hata mkojo ukikubana unaweza tafuta sehemu u take short call,Kuna miji duniani huoni hio sehemu kabisa kabisa.ni tiles ground mji wote na kamera za kutosha plus movement kubwa za watu kila sehemu.
Hii inawezekana kwa sababu sehemu kubwa ya nchi ni mashamba pia miji na majiji havijapangiliwa na hakuna taa za mitaani kwa hiyo kuna sehemu nyingi unaweza kukojoa hovyo hovyo tu.
 
Botswana Pato la Taifa sio mali ya Watawala peke yao .

Sera yao na katiba yao na sheria zao ziko hivi:
Rasilimali zote za asili ni za Wananchi wote wa Botswana . Kila pato linalotokana na rasilimali za asili ikiwemo Madini na utalii zinafanywa kwa kila Familia awe na ajira au hana anawekewa kwenye akaunti yake ya Benki hata kama ni elfu kumi au milioni kumi .

Kwa hiyo ukosefu wa ajira kwa Botswana usiulinganishe kanisa na nchi hizi zinazopakana na Kongo kama Tanzania .

Tanzania Pato la Gesi na madini ,bandari na utalii linaishia kwa wakubwa wachache na michepuko yao na marafiki na ndugu wa Watawala .
Kwa mujibu wa Dr.Slaa wakati Magufuli anatumbua majipu , Tuliambiwa kuwa kuna Wakubwa walikua na michepuko zaidi ya 200 iliyokua inapishana kwenda kula Bata Dubai . Hapo hata kila siku anaweza kuwa na michepuko mpya kama Mfalme Suleiman. Hiyo ndiyo ni TZ na hawataki wananchi wachague kwa sera bali ushindi ni lazima kwa wezi kama majambazi yanavyolazimisha kuchukua mali ya mtu ndivyona CCM inavyolazimisha Kutawala ila watafune Rasilimali za umma bila huruma

Botswana ipo level nyingine kabisa kwenye Huduma za jamii na maisha ya wapiga kura wao.
 
Kwa nini wawe na high unemployment?
 
Kwa nini wawe na high unemployment?
Kwao bado wanaona hakuna ajira kwa sababu ya mzigo wa kuwalea unabaki serikalini . Hata wangekua ni watu elfu hamsini kwao ni wengi kutokana ana mfumo walio nao na Demokrasia pia wanajitahidi.

Tanzania watu Mil. 64 lakini mpaka ajira rasmi hazifikii mil. 1.5.
Huo uwiano ni m
 
Kwani lazima ziwe Ajira rasmi? Kipimo Cha ukosefu wa Ajira ni percentage rate of reading available labour
 
Harafu hii Nchi ndio tulikuwaga tunadanganywa kwamba inanufaika na Madini wakati kiuhalisia afadhari na Tanzania 😁😁

Eti saizi ndio wanatafuta 30% ambayo Tanzania tunayo siku nyingi tuu πŸ‘‡πŸ‘‡Botswana, the country with the biggest diamonds, gets an improved 10-year deal with miner De Beers
 
Demokrasia ndio inawapa kazi na ugali? 🀣🀣

Unaijua 27% ya watu 1.5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…