ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Waarabu wanawekeza sehemu ambazo hamuwezi,wewe una hela ya kuwekeza kwenye Bandari?kama sisi huku waarabu wanavyowekeza kwenye bandari na vitalu vya wanyama pori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wanawekeza sehemu ambazo hamuwezi,wewe una hela ya kuwekeza kwenye Bandari?kama sisi huku waarabu wanavyowekeza kwenye bandari na vitalu vya wanyama pori
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi.
2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii
3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga
4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk
5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa nyama.
Pamoja na yote hayo haijasaidia Vijana wa Nchi hiyo kupata ajira kiasi kwamba ni Kati ya Nchi Zenye Unemployment kubwa hapa Afrika.
View: https://x.com/BloombergAfrica/status/1885559783597449313?t=x6uQpK_ChAtY5jOxzBsqtA&s=19
My Take
JK alikuwa sahihi kuwakatalia Salary Madaktari wa Ulimboka walipogoma na kudai watakimbilia Botswana na Kenya 🤣🤣
Aisee Kwa Takwimu hizi Tanzania ni paradiso,sihami Bongo aisee.
Nchi za Africa hata mkojo ukikubana unaweza tafuta sehemu u take short call,Kuna miji duniani huoni hio sehemu kabisa kabisa.ni tiles ground mji wote na kamera za kutosha plus movement kubwa za watu kila sehemu.Unafikiri nchi zote duniani zina bodaboda, bajaji, winga, wapiga debe na watembeza maji, pipi, nazi, machungwa, ukwaju n.k barabarani ??
Hii inawezekana kwa sababu sehemu kubwa ya nchi ni mashamba pia miji na majiji havijapangiliwa na hakuna taa za mitaani kwa hiyo kuna sehemu nyingi unaweza kukojoa hovyo hovyo tu.Nchi za Africa hata mkojo ukikubana unaweza tafuta sehemu u take short call,Kuna miji duniani huoni hio sehemu kabisa kabisa.ni tiles ground mji wote na kamera za kutosha plus movement kubwa za watu kila sehemu.
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi.
2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii
3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga
4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk
5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa nyama.
Pamoja na yote hayo haijasaidia Vijana wa Nchi hiyo kupata ajira kiasi kwamba ni Kati ya Nchi Zenye Unemployment kubwa hapa Afrika.
View: https://x.com/BloombergAfrica/status/1885559783597449313?t=x6uQpK_ChAtY5jOxzBsqtA&s=19
My Take
JK alikuwa sahihi kuwakatalia Salary Madaktari wa Ulimboka walipogoma na kudai watakimbilia Botswana na Kenya 🤣🤣
Aisee Kwa Takwimu hizi Tanzania ni paradiso,sihami Bongo aisee.
Kwa nini wawe na high unemployment?Botswana Pato la Taifa sio mali ya Watawala peke yao .
Sera yao na katiba yao na sheria zao ziko hivi:
Rasilimali zote za asili ni za Wananchi wote wa Botswana . Kila pato linalotokana na rasilimali za asili ikiwemo Madini na utalii zinafanywa kwa kila Familia awe na ajira au hana anawekewa kwenye akaunti yake ya Benki hata kama ni elfu kumi au milioni kumi .
Kwa hiyo ukosefu wa ajira kwa Botswana usiulinganishe kanisa na nchi hizi zinazopakana na Kongo kama Tanzania .
Tanzania Pato la Gesi na madini ,bandari na utalii linaishia kwa wakubwa wachache na michepuko yao na marafiki na ndugu wa Watawala .
Kwa mujibu wa Dr.Slaa wakati Magufuli anatumbua majipu , Tuliambiwa kuwa kuna Wakubwa walikua na michepuko zaidi ya 200 iliyokua inapishana kwenda kula Bata Dubai . Hapo hata kila siku anaweza kuwa na michepuko mpya kama Mfalme Suleiman. Hiyo ndiyo ni TZ na hawataki wananchi wachague kwa sera bali ushindi ni lazima kwa wezi kama majambazi yanavyolazimisha kuchukua mali ya mtu ndivyona CCM inavyolazimisha Kutawala ila watafune Rasilimali za umma bila huruma
Botswana ipo level nyingine kabisa kwenye Huduma za jamii na maisha ya wapiga kura wao.
Kwao bado wanaona hakuna ajira kwa sababu ya mzigo wa kuwalea unabaki serikalini . Hata wangekua ni watu elfu hamsini kwao ni wengi kutokana ana mfumo walio nao na Demokrasia pia wanajitahidi.Kwa nini wawe na high unemployment?
Kwani lazima ziwe Ajira rasmi? Kipimo Cha ukosefu wa Ajira ni percentage rate of reading available labourKwao bado wanaona hakuna ajira kwa sababu ya mzigo wa kuwalea unabaki serikalini . Hata wangekua ni watu elfu hamsini kwao ni wengi kutokana ana mfumo walio nao na Demokrasia pia wanajitahidi.
Tanzania watu Mil. 64 lakini mpaka ajira rasmi hazifikii mil. 1.5.
Huo uwiano ni m
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi.
2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii
3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga
4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk
5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa nyama.
Pamoja na yote hayo haijasaidia Vijana wa Nchi hiyo kupata ajira kiasi kwamba ni Kati ya Nchi Zenye Unemployment kubwa hapa Afrika.
My Take
JK alikuwa sahihi kuwakatalia Salary Madaktari wa Ulimboka walipogoma na kudai watakimbilia Botswana na Kenya 🤣🤣
Aisee Kwa Takwimu hizi Tanzania ni paradiso,sihami Bongo aisee.
View: https://x.com/MineNewsAfrica/status/1889174104852336966?t=hJrQmGAtKO4W9dtSST8_6g&s=19
Demokrasia ndio inawapa kazi na ugali? 🤣🤣Kwao bado wanaona hakuna ajira kwa sababu ya mzigo wa kuwalea unabaki serikalini . Hata wangekua ni watu elfu hamsini kwao ni wengi kutokana ana mfumo walio nao na Demokrasia pia wanajitahidi.
Tanzania watu Mil. 64 lakini mpaka ajira rasmi hazifikii mil. 1.5.
Huo uwiano ni m