Mkuu cas si ipo? Aende akapate haki yakeHamna jeuri yoyote zaidi ya Mwigulu, Fei kawagaragaza ndio maana hamkuweza hata kuonesha kipengele kimoja kwenye mkataba wake kilichombana, nyie ni mbumbumbu wa mikataba.
Bayern waliwalipa 30m£ Liverpool mkataba ulikuwa bado kuisha mkuu.Swala la kuboresha mkataba ni uwamuzi wa club. MANE aliomba Liverpool imboreshee mkataba wake,Liverpool ikakataa. Mane akasubiri mpaka mkataba wake umeisha akaondoka kwenda Bayern free.Bayern walimpa dau zuri la usaili na mshahara mkubwa.Hakuwahi kugomea mazoezi wala mechi kipindi chote alipokuwa anatumikia mkataba wale Liverpool.
Hata akikaa nje huko ila atarudi kuutumikia mkataba wake,still bado mkataba unamfunga na mpaka sasa Yanga wamewandikia barua TFF hawajui Fei alipo ndipo uone wanakusanya vielelezo ya kwenda stage nyingine ya kudeal na Feisal KISHERIA.
Huu uandishi wa kutumia maneno ya ata badala hata na swala badala ya suala ni wa nchi gani? Tunawadhalilisha Walimu wetu jamani.Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa.
Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff kuhukumu swala lake. Ili aone ametendewa haki au kaonewa.
Tff wameacha kelele za mashabiki tu. Hakuna mtu ata moja anayejua Ni kwanini feitoto hakufata sharti la kuvunja mkataba.
Swala lake fei Yuko sahihi. Hapaswi kupelekwa kwa vitisho au kulazimishwa. Tff inajukumu la kufafanua vipengere walivyotumia kumbana ili akipitia ajue afanyaje. Sense kwa Yanga kuyamaliza au akate rufaa.
Tff imemjibu kihuni na haijawahi kufafanua popote vipengere walivyotumia kuamua swala lake na Hilo linamlazimisha feitoto kushurutishwa kufata asichokiamini.
Haki iliyocheleweshwa Ni haki iliyoporwa. Nasisitiza Tff wanapaswa kumpa feitoto mapitio ya kesi yake mapema zaidi ata Kama kunagharama zinahitajika aambiwe alipie
Feisal hawezi rudi uwanjani bila kumalizana na Yanga hilo akae akijua, akiendelea kukaza shingo ban itafata asijidanganye kwamba ikifika 2024 atakua free**** wachezaji huumia na kukaa nje kwa mwaka mzima mf Aron Ramsey ila wakirudi wanakuwa moto.
pitio linafanyika trh 16 acheni kulalamika kwa vitu msivyovijuaHaki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa.