Swala la kuboresha mkataba ni uwamuzi wa club. MANE aliomba Liverpool imboreshee mkataba wake,Liverpool ikakataa. Mane akasubiri mpaka mkataba wake umeisha akaondoka kwenda Bayern free.Bayern walimpa dau zuri la usaili na mshahara mkubwa.Hakuwahi kugomea mazoezi wala mechi kipindi chote alipokuwa anatumikia mkataba wale Liverpool.
Hata akikaa nje huko ila atarudi kuutumikia mkataba wake,still bado mkataba unamfunga na mpaka sasa Yanga wamewandikia barua TFF hawajui Fei alipo ndipo uone wanakusanya vielelezo ya kwenda stage nyingine ya kudeal na Feisal KISHERIA.