tanzania wasomi ni wachaga kaskazini mwanza, kagera na watu wa mbeya huko angalia ma prof na watu waloko vitengoMwanza ipi ina wasomi wengi,
Ooh ... Kwani mada inasemaje!?SAUT sio chuo cha serikali, ni cha kanisa
Ni ukweli usiopingika kwamba mikoa ya kaskazini Kagera, Kilimanjaro na Mara kuna wasomi wengi mno.tanzania wasomi ni wachaga kaskazini mwanza, kagera na watu wa mbeya huko angalia ma prof na watu waloko vitengo
shida watu wakutokea huko huwa hatupendi kusaidianaNi ukweli usiopingika kwamba mikoa ya kaskazini Kagera, Kilimanjaro na Mara kuna wasomi wengi mno.
Nilisoma ripoti flani maprofesa wengi zaidi wanatoka kisiwa cha ukerewe,
Vyuo vikuu vya serikali!Ooh ... Kwani mada inasemaje!?
Sawa hapo nakuelewa mkuu!Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa
Kwanza hizo ni colleges ama taasisi (institutes) zina kozi chache mfano hao ifm na cbe wamejikita kozi za biashara tu kama uhasibu, procurement, masoko, n.k., huwezi linganisha na vyuo vikuu kuna kozi za sheria, biashara, uhandisi, afya, falsafa, siasa, n.k.Ila siku hizi kuna Matawi ya hivyo vyuo vikuu! Mzumbe, IRDP, IFM, CBE n.k
Ukerewe ndo nasikia kuna wasomi wengi japo hawajengi kwaoKumbe mwanza kuna wasomi