Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Ni kweli kanda ya ziwa imetoa wasomi wengi sana. Hii inatokana na ulaji mzuri wa vichwa vya sato, sangara na kamongo + ugali wa mhogo&dona hupelekea mtoto kuwa na IQ kubwa...!!
Hilo suala la kukosa vyuo vikuu vya serikali ni vipaumbele na muono wa waasisi wa uongozi wa Nchi na kingine watu wa kanda ya ziwa hawana ubnafsi.
Ukiachana na UDSM na UDOM, vyuo vikuu vingine vilianza kama taasisi then vikapandishwa hadhi mpaka kufikia kuitwa universities.