SAUTUnapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka
Kagera
Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe)
Mara
Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ?
Dar kuna UDSM na mkoa wa karibu Morogoro kuna chuo cha Mzumbe na Sokoine
Dodoma kuna UDOM
Mbeya kuna MUST na tawi la Mzumbe
Kwanini Mwanza hakuna chuo kikuu ?
Nawajua vyema kabila la mama angu hilo nmekaa kiasi chake mkoa wa mara ...na uwakute makazini hawatoagi connection wale umkute kwa interview usitaraji unafuu wanakaa balaaafu umkute mambo yamenyooka hahahha wanakuaga na kujiona balaa
Nitajie maprofessor wakichaga nikutajie maprofessor zaidi ya 50 wa kisukuma kwa vyuo vitatu tu vya SUA, BUGANDO NA MUHIMBILI.Mwanza ina wasomi wengi tangu lini?
Wasomi wapo
1.kilimanjaro
2.kagera
3.mbeya
Population ikoje usukumani vs uchaganiNitajie maprofessor wakichaga nikutajie maprofessor zaidi ya 50 wa kisukuma kwa vyuo vitatu tu vya SUA, BUGANDO NA MUHIMBILI.
Wachaga wanapenda mambo ya fedha na wasomi wao wengi wapo CBE, IFM N.K na wasukuma utawakuta kwenye vitu vigumu kama medicine, uhandisi, veterinary medicine na mambo ya madini na kilimo SUA pekee faculty ya veterinary medicine ina maprofessor 10 wa kisukuma.Population ikoje usukumani vs uchagani
Mwanza ina wasomi wengi tangu lini?
Wasomi wapo
1.kilimanjaro
2.kagera
3.mbeya
Hawa watu wana umimi sana shujaa aliwapendelea sana hawaridhikiNyie Sgr inawatisha baba yenu yule aliwajengea 😁😁😁😁
Kwanza Mwanza ipi Ina wasomi wengi? Lini Wasukuma walienda shule wakaacha kuchunga ng'ombe?
Professor 10 relative to population number ya wasukuma ni kawaida sio wengi wa kutosha bado kazeni mwendoWachaga wanapenda mambo ya fedha na wasomi wao wengi wapo CBE, IFM N.K na wasukuma utawakuta kwenye vitu vigumu kama medicine, uhandisi, veterinary medicine na mambo ya madini na kilimo SUA pekee faculty ya veterinary medicine ina maprofessor 10 wa kisukuma.
Wana umimi kuliko watu wa kaskazini?Hawa watu wana umimi sana shujaa aliwapendelea sana hawaridhiki