licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto.

mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania

ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho

nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
 
wafantakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno lakini ajira ni changamoto.

ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho

nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
Make shure unazungumzia wafanyakazi wa taasis gani, kuna taasis wafanyakazi wana mishahara ambayo sinya nchi hii
 
Tatizo la ajira lipo nchi nyingi ambazo zinategemea ku import kila aina ya bidhaa.

Hata China yenye maelfu ya viwanda na wanatengeneza kila kitu kinachouzwa kila nchi duniani ila hata wao wana tatizo la ajira.sembuse Tanzania
 
Back
Top Bottom