Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu njaa nakupinga, wanafunzi wapo kibao tu wana mikopo vyuoni na bata wanapiga kimtindo.Ugunduzi unaendana na hali ya maisha..sasa kama umelala njaa hiyo akili ya ugunduzi unatoa wapi?
IT wengi wanakutana na maisha yasiyo IT mtaani wengi wameingia kwenye issue zingine hizo programming sio rahisi kama unavyofikiria
Haya maswali bhana...,Wengi (sio wote)
Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni amateurs ila tu kinachowabeba ni magamba (vyeti)
- IT, computer science, computer engineering, cyber security, data science, n.k kuna vyuo vinatoa hizi fani na wahitimu wapo wengi lakini sioni cha ajabu walichofanya hadi sasa.
Wengi huishia kujua kutumia internet bure ya vpn kwa kujaribu mafaili yaliyotengenezwa na wanaijeria, kuweka mods kwenye games, kushusha software / games / window zilizochakachuliwa, kucheza fifa kwenye ps, kupiga window, kudownload muvi kwa torrents, na vitu vingi ambavyo kiufupi creativity inayohusika ni ndogo,,, yaani happ anajiona anajua kila kitu kwenye pc, wakati kiuhalisia ni beginner.
Naona kuna graduates kibao sana wa haya mambo ila wengi huishia kusubiri kuomba ajira, kuhusu creativity, uvumbuzi ama ku innovate vitu naona bado sana.
Hata yule mtz alieuza system yake ya gesi kwa bilioni 50 sio graduate wa IT, alisomea mambo ya uhasibu ila alikuwa anafanya IT kama ujuzi binafsi.
Edit;
Wengi wanauliza nafanya shughuli ipi,
maelezo >> haya hapa <<
Robert kiyosaki alisema kuna watu wengi wanajua kupika kuliko Mc Donald lakini ni ngumu sana kutengeneza kampuni kubwa kama hiyoWengi (sio wote)
Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni amateurs ila tu kinachowabeba ni magamba (vyeti)
- IT, computer science, computer engineering, cyber security, data science, n.k kuna vyuo vinatoa hizi fani na wahitimu wapo wengi lakini sioni cha ajabu walichofanya hadi sasa.
Wengi huishia kujua kutumia internet bure ya vpn kwa kujaribu mafaili yaliyotengenezwa na wanaijeria, kuweka mods kwenye games, kushusha software / games / window zilizochakachuliwa, kucheza fifa kwenye ps, kupiga window, kudownload muvi kwa torrents, na vitu vingi ambavyo kiufupi creativity inayohusika ni ndogo,,, yaani happ anajiona anajua kila kitu kwenye pc, wakati kiuhalisia ni beginner.
Naona kuna graduates kibao sana wa haya mambo ila wengi huishia kusubiri kuomba ajira, kuhusu creativity, uvumbuzi ama ku innovate vitu naona bado sana.
Hata yule mtz alieuza system yake ya gesi kwa bilioni 50 sio graduate wa IT, alisomea mambo ya uhasibu ila alikuwa anafanya IT kama ujuzi binafsi.
Edit;
Wengi wanauliza nafanya shughuli ipi,
maelezo >> haya hapa <<
Ndiyo elimu/uwezo wetuWengi (sio wote)

Kingine unapaswa kujua kuna mtaala wa elimu ni mbovu imagine mtu anaanza kuandika "hello world" chuo kikuu kwenye Introduction to C programming akiwa na miaka 22 wakati mtoto wa kizungu miaka 18 ni full software developer hizo introduction alisoma akiwa na miaka 10 kamwe huwezi kuwa sawa..kamwe na watu wengi huku wanatafuta tu maisha hakuna zile entrepreneurs tech crunches amapo watu wanaweza kuhamisha ugunduzi, IT wengi wametulia wakishapata uhakika wa kazi na maisha wanaachana na wajingaKuhusu njaa nakupinga, wanafunzi wapo kibao tu wana mikopo vyuoni na bata wanapiga kimtindo.
Hakuna kitu rahisi ila penye nia pana njia, mfano ni huyo mhasibu alietumia skills zake za IT kutengeneza system ya gesi na akalamba bilioni 50+, kama yeye kaweza licha ya kusomea vitu vingine sidhani kama watu waliosomea IT wana excise ya kushindwa, failure is not an option.
Hizo programming sio rahisi kwetu ambao mambo haya hatujasomea lakini kwa mtu aliesomea ni jambo la ajabu nae kusema ni ngumu.
Unahit sapoti ya namna gani, je ni kazi bila malipo...?Mfano mimi ni programmer ila nakosa sapoti ya team ya kufanya nao kazi excuse zinakua ni nyingi saana