Hakuna mwerevu anayeweza kumuita mwingine usalama wa taifa, huu ni ukweli mchungu.PUMBAVU.
Wewe ni nani uje udandie comment yako huku unaacha matter call wazi hivi?
Aya haraka yarudishe ndani kabla sijakasirika
Kumbe jf napo hua kua followers!Jf ukiwa na followers 5 humu wewe star
I agree with uhata MATAJIRI wapo wachache duniani.
Kwahiyo hata sisi humu tukiwa wachache ni poa sana unafahamiana na mswahili mwizio anakupa darasa la kutosha.
INSTAGRAM fake life na maudaku ya kutosha. ELIMU SIHABA mana kuna maclip ya HUSTLERS,MOTIVATION NA JOKES PIA.
FACEBOOK miandiko ya kitoto vijembe vya kitoto yani ilimladi tu mtu ajulikane yupo Facebook ELIMU NI CHACHE FACEBOOK
Kule majibu ya shombo na maswali ya kiwaki ila darasa lipo kwenye SPACE zao tu mtu akiwa na mada zuri.
MTAANI KWETU SASA.
humu kuna madini ya aina yote sijui dini sijui shetani sijui kula tunda kimasihara yani daah salute sana MKULUGENZI WETU
JAMII FORUM for life
Hakuna mwerevu anayeweza kumuita mwingine usalama wa taifa, huu ni ukweli mchungu.
Ni wapumbavu hupenda kuita watu hivyo, na huwaita hivyo wapumbavu wenzao kisha hao wapumbavu hufurahia
RespectTangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo".
Mpaka sasa, hata posts tu hazifikii idadi ya watanzania maana posts zipo 43 million, threads 1 million, na member laki sita. Kama mtu anavoshinda instagram siku nzima na mimi ni hivyo hivyo JamiiForums.
Je, tatizo ni nini maana JamiiForums sio popular kabisa among people.
Kumbe jf napo hua kua followers!
Hili wala silijui,ndio kwanza nasikia kwako mkuu,
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu.
mbona wewe una followers 21 inamaana ulikuwa upat notificationKumbe jf napo hua kua followers!
Hili wala silijui,ndio kwanza nasikia kwako mkuu,
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu.
Hua wanakwambia wewe ni usalama wa taifa gani?Mimi huwa wananiambia ni usalama wa Taifa maana nina taarifa kibao za mikoa yote pamoja na siri zote za vyama vya upinzani na sisiem
mpka kifo cha mkuu wa sukuma gang hizo tetesi ninazo
yani nikikaa na watu hakuna mada wataanzisha nisichangie kwa urefu na ufafanuzi mzito mpka wanabaki wanaduwaa
JF ilikuwa tamu zamani sasa hvi inaboa kiasi kwasababu ya wapumbavu wanaoharibu
mfano
mtu anaanzisha uzi eti sijui anampenda member fulani au eti kaaota kakutana na member flani
UJINGA MTUPU
Uongo mkubwa, mitandao yote mikubwa Ina hizo sifa. Kazi kwako kuamua unafuata yapi. Hata insta na fb kuna pages nyingi ultu za madini ya kila aina. Umemfollow mwijaku, unategemea nini?hata MATAJIRI wapo wachache duniani.
Kwahiyo hata sisi humu tukiwa wachache ni poa sana unafahamiana na mswahili mwizio anakupa darasa la kutosha.
INSTAGRAM fake life na maudaku ya kutosha. ELIMU SIHABA mana kuna maclip ya HUSTLERS,MOTIVATION NA JOKES PIA.
FACEBOOK miandiko ya kitoto vijembe vya kitoto yani ilimladi tu mtu ajulikane yupo Facebook ELIMU NI CHACHE FACEBOOK
Kule majibu ya shombo na maswali ya kiwaki ila darasa lipo kwenye SPACE zao tu mtu akiwa na mada zuri.
MTAANI KWETU SASA.
humu kuna madini ya aina yote sijui dini sijui shetani sijui kula tunda kimasihara yani daah salute sana MKULUGENZI WETU
JAMII FORUM for life
😀😀😀😀mbona wewe una followers 21 inamaana ulikuwa upat notification
Faida ni kwamba unajua tu kuna watu wanakufollow sana yaani wanakukubali kinymaaa😀😀😀😀
Mkuu nimecheka sana aisee,unaweza kuona nazingua ila ukweli ni kwamba ni kweli hilo nilikua silijui.
Sasa hao followers unawatizamia wapi? na faida zake ni zipi mkuu?
Kwa uandishi huu umeweka wazi nililosema ni sahihi.HOVYOOOOO
HUJIELEWI WEWE NA KUJIKUTA UNA BUSARA KUMBE POYOYO TU
Poa,thx mkuu.Faida ni kwamba unajua tu kuna watu wanakufollow sana yaani wanakukubali kinymaaa
Ukitaka kuwa angalia kweny web uonu ila kwenye app unawaona
Hiyo vitu vya kina diamond huku hakuna?watanzania ni wadaku wa vitu vile vile vya siku zote, sepetu amekula nin, Diamond amemfanya nin zuchu, ni ivyo tu ndio tunavifuata insta na face sabab pia picha na vd zinaonekana. NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS
Kunywa kahawa upoze akili kwanza mkuuUongo mkubwa, mitandao yote mikubwa Ina hizo sifa. Kazi kwako kuamua unafuata yapi. Hata insta na fb kuna pages nyingi ultu za madini ya kila aina. Umemfollow mwijaku, unategemea nini?
Hayo uliyosema jf yapo tena ni mengi mno, Kama uzushi basi humu ndio sehemu yake. Kama utoto humu ndio sehemu yake pia, Kama ni vijembe Kama ulivyosema twitter humu napo ni mahala pake