Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Bado haujasema, hadi useme.Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda.
Huyu ñgambili nitamkomesha
Komaa na hicho hicho kinachokuwezesha kusurvive hadi sasa.Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda.
Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu.
Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba, baba, baba, yaani nina mivuto kinoma, kumbe ndani sina kitu, boss anadororesha uchumi wangu.
Leo ningekula kitimoto na konyagi yàngu size ya kati. Lakini mshahara wangu wa mwezi wa pili hadi leo sijaupata.
Mwajiri ni jeuri na kiburi, anafanya analotaka yeye. Hakika nitaķuja mwendea kwa mganga, heshimu watu na kuwajali.
Huyu ñgambili nitamkomesha
Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda.
Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu.
Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba, baba, baba, yaani nina mivuto kinoma, kumbe ndani sina kitu, boss anadororesha uchumi wangu.
Leo ningekula kitimoto na konyagi yàngu size ya kati. Lakini mshahara wangu wa mwezi wa pili hadi leo sijaupata.
Mwajiri ni jeuri na kiburi, anafanya analotaka yeye. Hakika nitaķuja mwendea kwa mganga, heshimu watu na kuwajali.
Huyu ñgambili nitamkomesha
Ajile ngambili?ñgambili
SawaKomaa na hicho hicho kinachokuwezesha kusurvive hadi sasa.
Sawa kakaPole Sana Ila maintain hiyo life style ya kutooendeshwa na mambo ya mwili .