Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnasema awe hivi awe vile, mtoa mada anasema tabia zenu nzuri. Na nyie mko hivyo au tabia mnazowaza?Awe "street smart" with experience and knowledge necessary to deal with the potential difficulties or dangers of life in an urban environment.
Ivo yaan💪Kuwa rude and aggressive pale mipaka inapovukwa
Ndiomaana Mtu aliumbwa na Free will, yaani awe vile anataka, unapoforce mtoto azaliwe kulingana na matakwa na matamanio yako huo ni ubinafsi wa hali ya juu sana.Kama kuna clone technology ipo active.. natamani sana nijitoe copy kuanzia mazuri mpk mabaya yangu ayarithi 100%.
Sometimes nakaa chini najiuliza kama mm ni Binadam wa kawaida? Kwa mtu anaenifaham vzr hawezi pingana na mimi ktk hii nadharia.
Nyakyu hiyoAwe na huruma, mtu wa watu ila hamna utani yaani ile kuchukuriwa for granted no, awe kauzu kiasi
Ka asili ketu flani hivi, hamna kuonewa😀😀Nyakyu hiyo
😂😂😂Ivo yaan💪Ka asili ketu flani hivi, hamna kuonewa😀😀
Uaminifu na kufanya kazi Kwa bidiiHii watoto wote wanayo (udadisi) shida ni kuendelea nayo hadi ukubwani.
Ngoja tu, ntawarithisha watu wote, sio watoto tu. Suala ni kuthibitishia umma kuwa udadisi unalipa aaani
🤝🤝🤝👏👏👏👏Awe mwaminifu kama mimi ktk ndoa yake
Awe mwenye huruma na moyo wa kusaidia watu wengine bila kujali dini au kabila.
Awe mtu wa diplomasia kama mimi.
Awapende watoto wake na kuwajali.
Asiwe mlevi.