Licha ya mafanikio aliyoyapata Avcii nini kilimpelekea kujiua (suicide)?

Au kwasababu ulienda kuisikiliza ukiwa tayari kichwani umejenga dhana ya kukutana na kitu kikubwa ndani ya huo wimbo?
itakuwa mkuu ngoja niendelee kuisikiliza huenda nikaielewa
 
Sawa aviicii wa bongo tumekuelewa...
 
Hii hali sanasana inawatokea watu wa kimya vichwa vyao vinakuwa vinawaza vingi sana na wanaona wanaishi dunia yao (against the world).
 
Sema hii dunia tunaishi kama movie afu kuna behind the scenes ambapo Director na crew yake wanaamua nini kitokee.
 
Jambo jepesi wanalazimisha liwe gumu sema ukitazama kimantiki utaona watu wanaojiua wapo mbele ya wakati imagine unaishi ukijua ipo siku utakufa tu yaani wewe fanya ufanyalo lakini kifo kipo palepale.
 
Nimependa maelezo yako sana,..ukiwa na ambition unapata sababu ya kuishi, ila ukishapata..kunakua hakuna point, maisha hayana maana hata kidogo.

Nawaza sana kwanini tupo, kuna muda mwingine nakaa bar nadrink, natulia hata lisaa naangalia watu wengi nawaona kama vikatuni wapo wanakunywa wengine wanauza ila hawajui wanafanya nini duniani, nasikitika sana.

Life is meaningless at all.
 
Jambo jepesi wanalazimisha liwe gumu sema ukitazama kimantiki utaona watu wanaojiua wapo mbele ya wakati imagine unaishi ukijua ipo siku utakufa tu yaani wewe fanya ufanyalo lakini kifo kipo palepale.
Ndio maana twambiwa everything too much is harmful, hayo mamb ya kuwaza sana kuhusu kusudi lako maishani, uhai na kifo aisee yatakuchanganya hadi mtu unajiua hivi hivi.
 
Kofi cha Avicii kiliniuma kupitiliza, nilimkubali sana. Kuanzia Levels, SOS, Blessed, Wake Me Up, Waiting For Love, Hey Brother n.k.

Mental health is real. Hiyo video ni tribute ya life ya Tim Bergling aka Avicii 💔
HEY BROTHER ina vocal za mwanamuziki wa country Dan Tyminski
Combination ya production ya mwamba (Avicii) na Dan ni amazing siyo poa afu sikia ujumbe wa goma....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…