muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi,
Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na kuleta upuuzi wake,
imekua hivyo tangu zamani kwanzia Nyerere, Mkapa Mwinyi Kikwete na JPM na hata sasa yapaswa kuwa hivyo, ni ujinga uliokithiri kuona mpaka leo kuna watu wanahisi hawawezi kuongozwa na mwanamke huu ujinga umebaki kwa wachache,
utii ni lazima kwa mamlaka iliyo kuu, huwezi kuongea na Rais kama unamfokea wewe kama nani hasa? unajiona nani?
Mambo yanayoenda tofaut serikalini yanashughulikiwa na kuwekwa sawa na bunge wewe unaitisha kikao cha kabila ukamfokee Rais, sasa bunge mnapitisha halafu baadae ukamfokee Rais?
haikubaliki hata kidogo
Rais anaamini watu kumbe wao wanamzunguka kumlia timing,
Rais umechelewa fagia wote wote wanaojiona wakubwa wakatengeneze magenge yao huko vichochoroni, , toa wote hata awe nani tumechoka na upuuzi sisi, wote wanaokuhujumu toa na tuone sasa watafanyeje!